Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 344
- 1,003
Nawasalimu.
Pale Gongo la Mboto mwisho ikishafika saa moja jioni wanaanza kujitokeza kwenye vichochoro vyao na nguo za kuamsha hisia.
Utasikia "Shemeji nimekupenda ulivyo mrefu mweusi, njoo basi nikupe utamu"
Yaani unaweza kuvunjiwa heshima hivihivi unaona, Tena sasahv wamejaa wale XXL sio tena medium na slim fit.
Ni hapo gongo la mboto mwisho karibu na baa fulani kubwa tu (sio vema kuitaja jina)
Wenye mamlaka, Chukueni hatua stahiki, Vijana wetu wadogo wanapitia hali ngumu sana.