Golikipa wa Azam ndie alistahili kuwa Man of the Match ila kapewa BACCA kwa sababu imepangwa iwe kwa Mzanzibar

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
2,134
4,227
Alieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.

Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.

Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI, MUDATHIRI na BACCA.

Ila all in all BACCA hajastahili sisemei kisa kukosa penati ila kwa namna game ilivyokua.
 
Alie angalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.

Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.

Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI,MUDATHIRI na BACCA.

Kwa maelezo haya bila shaka huna rinder, ukibisha njoo na hoja!
 
Alie angalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.

Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.

Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI,MUDATHIRI na BACCA.

Ila all in all BACCA hajastahili sisemei kisa kukosa penati ila kwa namna game ilivyokua.
Dunduka umeumia sana
 
Man of the match kwenye final hapewi alioshindwa jifunzen soka
Uko sahihi, inaitwa kizungu 'winner takes all!!).

Baka alizuia Azam wasipige zaidi ya shuti moja kwa dkk 120 na alicheza akiwa na maumivu ya misuli. Alistahili ile tuzo. Mustapha tunamsifu ila ubora wake ulitokana na uzembe wa mabeki kitu ambacho Baka hakukubali kitokee kwa Diarra!!

Makolo acheni nongwa jumba lenu bovu mnamuangushia kila mtu hebu endeleeni kupendeza na nafasi yenu ya tatu na fursa ya kucheza ndondo cup aina ya shirikisho!!
 
Alie angalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.

Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.

Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI,MUDATHIRI na BACCA.

Ila all in all BACCA hajastahili sisemei kisa kukosa penati ila kwa namna game ilivyokua.
hili liko wazi kabisa na wala halina ubishi basi tuu tunaletaka siasa kwenye mchezo wa wazi.
 
Uko sahihi, inaitwa kizungu 'winner takes all!!).

Baka alizuia Azam wasipige zaidi ya shuti moja kwa dkk 120 na alicheza akiwa na maumivu ya misuli. Alistahili ile tuzo. Mustapha tunamsifu ila ubora wake ulitokana na uzembe wa mabeki kitu ambacho Baka hakukubali kitokee kwa Diarra!!

Makolo acheni nongwa jumba lenu bovu mnamuangushia kila mtu hebu endeleeni kupendeza na nafasi yenu ya tatu na fursa ya kucheza ndondo cup aina ya shirikisho!!
Unaemuita humjui Kolo labda umekuja leo jukwaa la Michezo.
 
Back
Top Bottom