Ingewezekana Mkutano Mkuu wa Chama chetu utakaofanyika Mwezi January utoke na jina la Mgombea Urais na pia utoe mamlaka kwa Kamati Kuu/Baraza Kuu kutafuta mgombea mwenza na kumthibitisha kwa niaba ya mkutano mkuu ili chama kitoke na jina la mgombea sambamba na viongozi wakuu wa Chama.
Jambo hili ni muhimu kwa ajili ya branding ya mgombea Urais na masuala ya uratibu wa masuala ya kampeni na raslimali fedha kwa mgombea.
Pengine wazo hili likifanyiwa kazi bila Shaka tunaweza kumaliza salama zaidi na kupunguza kelele nyingi zisizokuwa na maana. Kamati Kuu inaweza kufikiri hivi.