Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,915
- 17,001
Peter Msigwa alipost maoni yake akiamini kuwa Chenge ni mtu ambaye angefaa kuwa Speaker wa Bunge. Pamoja na kuwa anaona Bunge halieleweki ila anaamini Chenge ni mtu mwenye msimamo na msomi wa kweli.
Lema kwa upumbavu mkubwa akaandika katika Twitter ya mwenzie. FUTA. huu ni upumbavu. Ni kuingilia uhuru wa mtu. Lakini pia angekuwa na busara. Alipaswa amfuate Peter pembeni kumwambia kwa nini anashauri kuwa ile Twitter/Post si sahihi.
Muungwana angefanya hivyo na si kumwamuru Ndugu Msigwa afute utadhani anamwambia Mtoto wake. Peter alifuta but nadhani baadaye akafikiri vizuri na kuamua kuirudisha tena.
Mara nyingi nimekuwa nikisema Lema ana Uelewa mdogo au Elimu ndogo. Bado hajaweza kuwa na busara na kujua namna ya ku deal na mambo. Nakumbuka mara kadhaa pia amekuwa akishushuliwa na Tundu Lissu kwenye mambo kadhaa. Hasa ya kisheria huko Club House.
Shida ni kuwa yeye Lema anajiona anajua sana.ana busara,akili na hekima. Uhalisia ni kuwa ni mwongeaji sana ambaye hujikuta mara nyingine hajui vizuri hata anachoongelea ingawa yeye anaamini anakijua.
Nimekuwa nikijaribu kumsikiliza kwenye mazungumzo mbalimbali. Lema ni jamaa tu ambaye amepata platform ya kisiasa lakini kichwani hana tofauti sana na Musukuma au Kibajaji.
Anapaswa ajifunze kuheshimu wenzie..na ajifunze kufahamu maisha jinsi yalivyo. Ajifunze kupata busara.