Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,694
239,259
Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa.

Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1.

Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba ameandamana ndani ya Ndege.
======
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA, Godbless Lema ameeleza Kuwa alikamatwa siku ya jana Saa 12 kasoro 10 jioni, akiwa ndani ya ndege na polisi 10.

Soma Pia:

Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyotekwa kabla ya kukamatwa.

Anadai alitekwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1 na kukamatwa.

Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba Ameandamana ndani ya Ndege

View attachment 3104894
Aiseee inasikitisha sana ,wametumia nguvu kubwa sana kuzimisha maandamano.
 
Awali vyombo vya habari duniani vimeripoti hatua hiyo ya kugandamiza demokrasia kwa viongozi wa CHADEMA kunyakuliwa na vyombo vya dola vya serikali inayoongozwa na chama dola kongwe CCM

Tanzanian police cracked down on an opposition protest organized by the Chadema party on Monday, arresting key leaders, including chairman Freeman Mbowe, before they could lead a peaceful demonstration in Dar es Salaam. The protest aimed to highlight alleged killings and abductions of government critics. Chadema accused President Samia Suluhu Hassan’s government of returning to the repressive tactics used by her predecessor, John Magufuli. Despite assurances from Mbowe that the protest would remain peaceful, police cited public order concerns, deploying heavy security across the city.

View: https://m.youtube.com/watch?v=ua8rg9X1v5k
 
Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyotekwa kabla ya kukamatwa.

Anadai alitekwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1 na kukamatwa.

Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba Ameandamana ndani ya Ndege

View attachment 3104894
Ujinga ni mzigo eti katekwa akakamatwa.

Manabii wa uongo ni wengi tu, hata shoga tito nae nabii.

Siwashangai wajinga ndiyo waliwao.
 
Mambo hayo yanatokeaje ilihali yule dikteta hayupo tena? Zamani yalikuwa yakitokea, mzigo wote wote wa lawama alikuwa anapewa dikteta yule; je sasa hivi ni nani anabeba mzigo wa lawama?
Kuna namna chadema inabidi waende kwenye kaburi la magu wapige goti wamuombee msamaha
Wamempakazia vingi
Kumbe tatizo ni ccm sio magu
 
Yawezekana wengi mmelala ila Mimi Sina usingizi kabisa naiwaza nchi yangu Tanzania na haya yaliyo jiri Jijini Dsm dhidi ya KUUZIWA maandamano ya chadema,

Nimewaza mengi hata lire la watu KUUZIWA kufanya kazi zao za kisiasa ili hali Rais wetu yupo Rukwa anacheza BAO,

Sijaishia ilo TU nimewaza jinsi jeshi la magereza wamekosa gari la kumsafirishia Mh Meya Boni yai kumleta mahakamani akapate DHAMANA AMBAYO ni haki yake ya msingi.

Nawaza mengi nimejiuliza elimu zetu hasa vijana wa Kitanzania zinatusaidia Nini?

Najiuliza Mh lema alipanda ndege aina ya uongo wa bibi yake ambao inaongozwa na mizimu?

Nimezungumza na Yericko Nyerere amenihakikiahia yakuwa hata mizimu ikikubeba haiwezi kukutupa pahala ambapo usitali kwenda ikitokea mizimu ikazidiwa basi ujifanya imeshindwa ila iko siku itarejea

Najiuliza Mh Godbless Lema alipanda ndege inayoendeshwa na RUBANI MSOMI kabisa?

Ndege hiyo ina wahudumu kweli wa ndege WALIO somea kutoa huduma?

Huyo RUBANI na muhudumu alie kuwa kwenye ndege walishudia Mh lema anashishwa wakashindwa hata kupiga yowe?wakashindwa basi hata kutoa TAARIFA YAKUWA mteja wao katekwa?

Najiuliza huyo RUBANI wa ndeg hiyo na mhudumu wanaishi Tanzania kweli hawajui ni majizi TU hapa mzee Ali kibao alishishwa kwenye basi na akatekwa na kuuwa?

Wanaishi wapi HAWA?

Useless education shame on you

Mh lema tutajie shirika la ndege ulirolitumia naomba shirika likitajwa kila ANAE soma Uzi hu ateo neno.
 
Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa.

Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1.

Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba ameandamana ndani ya Ndege.
======
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA, Godbless Lema ameeleza Kuwa alikamatwa siku ya jana Saa 12 kasoro 10 jioni, akiwa ndani ya ndege na polisi 10.

Soma Pia:

Miltarization of state
 
Mambo hayo yanatokeaje ilihali yule dikteta hayupo tena? Zamani yalikuwa yakitokea, mzigo wote wote wa lawama alikuwa anapewa dikteta yule; je sasa hivi ni nani anabeba mzigo wa lawama?

..Raisi wa Tanzania ana madaraka makubwa ya ki-mungu-mtu.

..Yanapofanyika mambo mazuri ktk utawala wake sifa zote huenda kwa Raisi.

..Yanapotokea maovu ktk utawala wake lawama zote humuangukia Raisi.

..Ilikuwa ni sahihi kumlaumu Jpm kwa udhalimu uliokuwa ukitokea ndani ya utawala wake.

..Ni sahihi pia kumlaani Ssh kwa udhalimu unaotokea sasa hivi ktk utawala wake.

..Sio sahihi kujaribu kumfutia Jpm makosa yake kwasababu Ssh anarudia makosa hayo.
 
Back
Top Bottom