God is good and evil

Okoth p'Bitek

JF-Expert Member
Jan 11, 2019
1,112
1,366
Hapo mwanzo mungu alikuwa neno, kila aliyetoa neno kutoka kwenye kinywa chake alijitahidi kuliheshimu bila kujali ni jema au baya.

Mtu noble alikuwa akizungumza neno ni lazima ahakikishe analipigania litimie maana likitendeka na bwana ametenda

Haya maisha ya mungu ni neno yaliendelea mpaka kilipotokea kizazi cha kitumwa kipindi cha utawala wa classic rome, hiki kizazi kilitambulika kama kizazi cha kristo, hiki kizazi kilikerwa na mungu ni neno ya kirumi kwani haikujali wema wala ubaya yenyewe ilijali zaidi heshima

Niwaambie ukweli maisha ya watawala yalikuwa very classic bila kujali jema au baya, mpaka ikafikia hatua ya watu wa chini kuona wivu juu ya maisha walioishi watawala wa kirumi,

Miaka ilivyozidi kusogea hawa watu wa chini waliendeleza chuki na wivu juu ya maisha ya watu wa juu, mf kubebwa na watumwa, kulala na wanawake sita ai saba, kushuhudia mauaji, mapigano ndani ya colleseum,

Kutokana na maadili ya watu wa juu kutokujali chochote kuhusu watu wa chini, wakristo waliamua kujitengenezea maadili yao ambayo yatakuwa na upande wa wema na ubaya, kwahiyo lugha ikapoteza maana kutoka kwenye mungu ni neno bila kujali ni neno jema au baya mpaka kufikia kwenye mungu ni mwema na ubaya ni ushetani

Katika maadili ya wakristo waliwagawanya watu wa juu katika makundi mawili, kuna wale waliobaki na mungu hawa waliwaita wema, lakini kwa wale waliotenda mabaya waliitwa shetani.

Kwahiyo maana ya awali ya mungu ni neno ikahama na kuwa mungu ni mwema, sasa ndugu zanguni tuulizane jambo moja ni mnyama gani hapa duniani ana asili ya kutenda wema tuu, ok tukubali hayupo, je unapolikataa neno na kuligawanya katika makundi mawili na ukachukua moja na kutaaa moja huoni unakuwa umeuwa maana

Mwanzo kama maandiko yeno yanavyodai hahahahahaha, kwamba mungu aliishi na shetani mbinguni. Ni kweli ndani ya neno kuna wema (mungu) na ubaya(shetani), kwahiyo kama kweli mungu ni neno na ndani ya neno kuna wema na ubaya ni sahihi kabisa kusema kuwa, hapo mwanzo neno aliishi kama wema na ubaya kabla ya neno kuchukizwa na ubaya uliopo ndani yake na kuamua kuufukuzia mbali akiuacha wema au mungu mpya, mungu mwenye maadili ya kitumwa, mungu mwanakondoo, kila anachokitafuta ni kutenda wema.

Je, wale watu wa kupenda asili hamuoni kuwa ndani yenu ametolewa yule mungu mbaya na kuachiwa huyu mungu mwema, je maana ya kusema mungu ni neno ina tija yoyote kama tuu utaamuwa kufikiria ubaya na uzuri uliopo kwenye neno. Ni kweli!!! tunapenda kufikiria kama vile tunaelewa hata maana ya kufikiria.

Mungu ni neno aliuawa kwa kutolewa ubavu wa ubaya akaachiwa ubavu wa wema, hili lote ndugu zanguni ni njama za kikristo katika kuua maadili ya juu yenye kubeba asili yetu na kutupandikiza utando wa buibui ambao kila ukienda, iwe mbele, nyuma au sasa inatachodai ni wema, ukiutafuta ubaya unakuletea maumivu na usingizi wa ghafla.

Asili ya chuki ni wivu ndugu zanguni sio ubaya kama mnavyofikiri, anayetengeneza chuki ni yule mwenye wivu usiokuwa na mafanikio.

Poor handwriting!
 
Ubaya ni nini sasa? Au ndio ubwela
 
katika Classical Rome, dhana ya miungu ilikuwa tofauti sana na ile ya Kikristo. Miungu wa Kirumi, kama ilivyokuwa katika tamaduni nyingi za zamani, ilijumuisha vipengele vya wema na ubaya. Miungu hawa walikuwa na tabia za kibinadamu, wakionyesha hisia, makosa, na matendo ambayo yanaweza kuwa mema au mabaya.

Kwa mfano, miungu kama Jupiter walikuwa na uwezo wa kulinda na kuwapa watu baraka, lakini pia walikuwa na uwezo wa kuleta hasara na adhabu. Hivyo, katika tamaduni hizi, wema na ubaya vilikuwapo kama sehemu ya maisha ya kila siku, na watu walijifunza kuishi na hali hizi kama sehemu ya ulimwengu wao.

Hii inatofautiana na mtazamo wa Kikristo, ambapo Mungu anachukuliwa kuwa mwema na mtakatifu, bila makosa. Katika Ukristo, dhana ya ubaya inachukuliwa zaidi kama changamoto au dhambi ambayo inahitaji kuondolewa au kukabiliwa. Kwa hivyo, nadharia za Classical Rome zilikuwa na ukubwa wa uhalisia wa binadamu ambao ulijumuisha pande zote za wema na ubaya.

waungwana mmenielewa ninaposema mungu alikuwa na wema na ubaya?
I tried to read upon the history of language..............
 
Hapo mwanzo mungu alikuwa neno, kila aliyetoa neno kutoka kwenye kinywa chake alijitahidi kuliheshimu bila kujali ni jema au baya.

Mtu noble alikuwa akizungumza neno ni lazima ahakikishe analipigania litimie maana likitendeka na bwana ametenda

Haya maisha ya mungu ni neno yaliendelea mpaka kilipotokea kizazi cha kitumwa kipindi cha utawala wa classic rome, hiki kizazi kilitambulika kama kizazi cha kristo, hiki kizazi kilikerwa na mungu ni neno ya kirumi kwani haikujali wema wala ubaya yenyewe ilijali zaidi heshima

Niwaambie ukweli maisha ya watawala yalikuwa very classic bila kujali jema au baya, mpaka ikafikia hatua ya watu wa chini kuona wivu juu ya maisha walioishi watawala wa kirumi,

Miaka ilivyozidi kusogea hawa watu wa chini waliendeleza chuki na wivu juu ya maisha ya watu wa juu, mf kubebwa na watumwa, kulala na wanawake sita ai saba, kushuhudia mauaji, mapigano ndani ya colleseum,

Kutokana na maadili ya watu wa juu kutokujali chochote kuhusu watu wa chini, wakristo waliamua kujitengenezea maadili yao ambayo yatakuwa na upande wa wema na ubaya, kwahiyo lugha ikapoteza maana kutoka kwenye mungu ni neno bila kujali ni neno jema au baya mpaka kufikia kwenye mungu ni mwema na ubaya ni ushetani

Katika maadili ya wakristo waliwagawanya watu wa juu katika makundi mawili, kuna wale waliobaki na mungu hawa waliwaita wema, lakini kwa wale waliotenda mabaya waliitwa shetani.

Kwahiyo maana ya awali ya mungu ni neno ikahama na kuwa mungu ni mwema, sasa ndugu zanguni tuulizane jambo moja ni mnyama gani hapa duniani ana asili ya kutenda wema tuu, ok tukubali hayupo, je unapolikataa neno na kuligawanya katika makundi mawili na ukachukua moja na kutaaa moja huoni unakuwa umeuwa maana

Mwanzo kama maandiko yeno yanavyodai hahahahahaha, kwamba mungu aliishi na shetani mbinguni. Ni kweli ndani ya neno kuna wema (mungu) na ubaya(shetani), kwahiyo kama kweli mungu ni neno na ndani ya neno kuna wema na ubaya ni sahihi kabisa kusema kuwa, hapo mwanzo neno aliishi kama wema na ubaya kabla ya neno kuchukizwa na ubaya uliopo ndani yake na kuamua kuufukuzia mbali akiuacha wema au mungu mpya, mungu mwenye maadili ya kitumwa, mungu mwanakondoo, kila anachokitafuta ni kutenda wema.

Je, wale watu wa kupenda asili hamuoni kuwa ndani yenu ametolewa yule mungu mbaya na kuachiwa huyu mungu mwema, je maana ya kusema mungu ni neno ina tija yoyote kama tuu utaamuwa kufikiria ubaya na uzuri uliopo kwenye neno. Ni kweli!!! tunapenda kufikiria kama vile tunaelewa hata maana ya kufikiria.

Mungu ni neno aliuawa kwa kutolewa ubavu wa ubaya akaachiwa ubavu wa wema, hili lote ndugu zanguni ni njama za kikristo katika kuua maadili ya juu yenye kubeba asili yetu na kutupandikiza utando wa buibui ambao kila ukienda, iwe mbele, nyuma au sasa inatachodai ni wema, ukiutafuta ubaya unakuletea maumivu na usingizi wa ghafla.

Asili ya chuki ni wivu ndugu zanguni sio ubaya kama mnavyofikiri, anayetengeneza chuki ni yule mwenye wivu usiokuwa na mafanikio.

Poor handwriting!

View: https://www.youtube.com/live/4pFFN68LRmw?si=dapiX3q1JFRPm7xY
 
Maneno hayo umeyatowa kitabu kipi ??
 
Back
Top Bottom