hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 12,013
- 19,536
Kampuni ya Monsanto, kwa kutumia taasisi za serikali kama Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) inazalisha mbegu zijulikanazo kama WEMA (Water Efficient Maize), ambazo zipo katika hatua ya majaribio.
Mbegu hizo hazina wema wowote, ni mbegu za UBAYA. Ni mbegu zenye kitanzi kwa Watanzania.
Je, unajua nani yupo nyuma ya Monsanto? Serikali ya Marekani, kwa kutumia shirika lake la misaada la USAID.
Lile jambazi la kidijitali, liitwalo Bill Gates, linamiliki hisa laki tano ndani ya Monsanto, na upo uhusiano wa kikazi kati ya Monsanto na AGRA, ambayo ni taasisi ya Bill Gates (na Rockefeller Foundation).
AGRA imeanzishwa mahsusi kwa ajili ya kupigia chapuo GMOs, na serikali ya Tanzania imeshalegeza masharti yaliyokuwa yakizibana kampuni za GMOs ili kuruhusu mbegu hizo zitumike nchini.
Kwa hiyo, usione vijisenti vya Bill Gates hapa nchini ukadhadhani eti “ana roho nzuri” au “anatupenda sisi maskini”. Hapana. Kwa kila dola moja inayoingia Afrika kama msaada, au mtaji, mabepari wa nje huvuna dola mbili za ziada.
Halafu, Bill Gates mwenyewe alishasema kuwa sisi Waafrika tunazaliana kwa wingi kama wanyama, na amedhamiria kutupunguza. Unadhani anatupunguzaje kama sio kwa kutuchimbia kaburi?
GMOs ni kaburi moja wapo. Jingine ni chanjo anazotoa ambazo zimeonyesha kabisa zinaathiri mfumo wa uzazi na kupunguza uwezo wa watu kuzaliana. Huko India, watoto wapatao 50,000 waliopigwa chanjo hizo wamepooza! Chanjo za kifo.
Nisiongee sana. Lengo la utangulizi huu ni kukuleta mjadala ulioibuka hivi karibuni katika mtandao wa facebook kuhusiana na GMOs. Mjadala huo ulianza baada ya dada Lina Andrew kuweka picha hii hapa chini, kisha kusema kuwa alikuwa akimnunulia mtoto vyakula hivyo hapa hapa nchini bila kujua kwamba ni vya GMOs:]
View attachment 2398690
Lina Andrew: “Hii kitu nilimnunulia mtoto mwenyewe kabisa Morogoro mjini hapa. Kufika nyumbani nikawa nakidodosa nikaona hiyo maandishi. Na pale ilikuwa mwisho wa kula na tulitupa kabisa.”
Lina Andrew: Kataa kula vyakula vilivyobadilishwa viini-tete, #SayNotoGMO tuwe tunasoma vitu wanavyokula watoto wetu. Sokoni tumeshaingiliwa tayari.
Sabatho Nyamsenda: Nifariji tu dada Lina Andrew. Niambie kuwa hicho kidude hakipo kwenye supermarkets za Bongo. Kipo ughaibuni. Hapa kwetu hawahitaji hata kuandika hayo maandishi. Wanajaza tu sokoni, tutajiju wenyewe. Ukatili wa ubepari huo!
Lina Andrew: Comrade hii kitu nilimnunulia mtoto mwenyewe kabisa Morogoro mjini hapa. Kufika nyumbani nikawa nakidodosa nikaona hiyo maandishi. Na pale ilikuwa mwisho wa kula na tulitupa kabisa.
Sabatho Nyamsenda: Lina Andrew, basi twafa! Bora hao wamekuwa “waungwana” kwa kuweka maandishi. Wengine wanatulisha tu GMOs, bila kusema chochote.
Jackline Shayo: Ma apple yote kutoka South Africa Ni GMO na pia mchele na sukari yote inayotoka nje ya nchi ni GMO.
Emmanuel Dmo: Yes but I don’t think if we have GM rice in Tanzania Jackline Shayo
Jackline Shayo: Yes, hakuna mchele wa GMO unaozalishwa na Tanzania. But tunakula GMO zinazozalishwa na nchi nyingine.
Habari ndiyo hiyo. Sasa kwa nini tusizalishe hapa kwetu kulikoni kutumia gharama kubwa kuagiza kutoka nchi za nje?
Emmanuel Dmo: Wewe uko hapo Jackline Shayo..tusaidie basi..I don’t blame on GMO, lakini kama hatutaki GM food hapa Tanzania basi inabidi tujifunze kuzalisha chakula cha kutosha..hii importation itatucost
Jackline Shayo: Nďiyo tupo kwenye mchakato wa kutoa elimu kwa akina Lina Andrew ili waondoe hofu wale ma-apple ya south kwa raha mstarehe.
Emmanuel Dmo: Hahaha
Emmanuel Dmo: Iko wapi sheria ya kudhibiti GMO crops and GM foods in our local markets? Is Tanzania a GM free nation??
Sabatho Nyamsenda: Wameshafanya mabadiliko makubwa sana ili kuruhusu GMOs nchini. Walianza kwa kuondoa strict liability clause na kufuatiwa na mabadiliko ya sheria za mbegu. Huyu gwiji wa sheria Stanslaus Nyembea inabidi atupe updates yalikofikia hayo mabadiliko.
Emmanuel Dmo: Yes..niliona hio kitu ila sijajua status yake kwa sasa..ila kuna information gap kubwa sana hasa kwa walaji..wanahitaji elimu ya kutosha ili kuweza kufanya maamuzi whether or not to buy GM food products
Emmanuel Dmo: That’s all what we want from Lina Andrew
Agnes Joseph: It is not a free GM, sheria imeruhusu baaadhi ya makaribio ya GM maize kuanza. Nadhani huu ni mwaka wa pili km sikosei, wapo kwenye majaribio.