ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 65,819
- 75,142
Riyadh: Wanasayansi wa Shirika la Kimataifa linalofiatilia Haki ya Ukame na ujamgwa Duniani wametoka tahadhari Kwa Nchi ya Tanzania na South Sudan kwamba Nchi hizi 2 ndio zinaongoza Duniani Kwa Kugeuka kuwa Jangwa.
Kwa mujibu wa ripoti ya Wanasayansi ya Global Aridity Index ,Tanzania na South Sudan zimekuwa na uharibifu mkubwa wa mazingira ambao unasababishwa na ukataji miti hovyo,Kilimo,ufugaji wa kienyeji na Mabadiliko ya hali ya hewa mambo ambayo yatabadili Haki ya upatikanaji wa chakula miaka michache ijayo.
My Take
Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira chukueni hii kama red alert kuiokoa Nchi maana tuna mabwawa mengi ya umeme wa Maji,msije kusema hamkuambiwa.
Aidha Wizara ya Nishati iharakishe Kampeni ya mama Samia ya Nishati safi 2024-2024 Ili kuokoa mazingira.
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1866547625308115254?t=O4waVlUayhmAIKFMD8i7Kw&s=19