Glass Protecta bei ya jumla nauza 1500 tu

Mkuu unamaanisha 1500 au 15,000? Na vipi unazo zenye rangi nyeusi? Na nikihitaji moja kwa ajili ya simu yangu utaniuzia bei ga?
Mkuu namaanisha kwa jumla tuuu sh. 1500/= tuuuuu kwa of 20 na kuendelea ninazo zote kwa moja haina maana sana , ukipiga gharama ya kusafirisha haitakulipa bora tu ununue kwenye eneo lako
 
i phone 6
i phone 6+
i phone 7
galaxy s6
galaxy s6 edge
galaxy note 4,5,6
galaxy A7,A8,A9

Zipo hizo mkuu?
 
Mimi jamani nimechoka kuweka glass protector za s6 edge. Yani ni nyepesi kweli kiasi kwamba nilikuwa naweka kila ndani ya wiki 3. Na bei ilkuwa 20 had 25. Yani nikiweka mfukoni kama kuna coin au funguo nikitoa nakuta tiyari imevunjika. Na ikipata hata nyufa kidogo kila siku inazidi kuongezeka
 
Weka picha tuone
 
Mkuu namaanisha kwa jumla tuuu sh. 1500/= tuuuuu kwa of 20 na kuendelea ninazo zote kwa moja haina maana sana , ukipiga gharama ya kusafirisha haitakulipa bora tu ununue kwenye eneo lako
Nipo Tanga mkuu
 
Ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…