Aamen naona tunatofautiana kwenye tafsiri lakini nimekuelewaYahana 1:5 Nuru hiyo huangaza gizani na giza haliwezi kamwe kuizima.
giza haliwezi kuishinda Nuru kamwe, tangu Mwanzo na hata Milele. Nuru na Giza katika uumbaji ni "physical phenomena" ambazo ni kinzani.
Ulipo mwanga giza haliwezi kuwepo, giza na mtumwa wake Shetani hawakuwahi kushinda hata siku moja. Walikuepo lakini hawata kuwako tena.View attachment 1093057
Aamen naona tunatofautiana kwenye tafsiri lakini nimekuelewa
Hebu turudi kwenye maandiko kwenye kitabu cha Mwanzo..... Kwamba nchi ilikuwa utupu tena giza totoro.... Baada ya giza kuondoshwa ndio ikaletwa nuru... Na katika hizi falme mbili za nuru na giza kila moja ina eneo lake la utawalaUnatafsiri vipi nafasi hizi mbili; mfalme wa Nuru Vs mfalme wa giza
Hebu turudi kwenye maandiko kwenye kitabu cha Mwanzo..... Kwamba nchi ilikuwa utupu tena giza totoro.... Baada ya giza kuondoshwa ndio ikaletwa nuru... Na katika hizi falme mbili za nuru na giza kila moja ina eneo lake la utawala
Nina maoni tofauti bado kwenye hili andishi lakoMwanga na giza vilikuepo kabla ya uumbaji, giza lilikuepo kwasababu kulikua hakuna lolote "utupu" au "void"....
je, giza liliumbwa pia? Ni swali la siku nyingine.
Uumbaji wa Nuru katika uumbaji ni kwa maana ya Jua, nyota (Mianga mikuu)
Suala la falme ya Nuru na giza halipo katika uumbaji wake (yaani uwepo wa utupu na giza wakati wa uumbaji)
Shetani/Lucifer aliumbwa pamoja na viumbe wengine wa mbinguni. Ufalme wa giza umeanza kutambulika baada ya anguko lake. Uovu, dhambi na mengine kama hayo kwa tafsiri sahihi ni kwenda kinyume na Mungu. Uovu haukuepo kabla ya uumbaji.
kumbe ndio maana watu wanaogopa kutembea kwenye kiza
kumbe ndio maana watu wanaogopa kutembea kwenye kiza
Haaa unanipaga raha pale unaporuhusu kila wazo sijaona mahali ukubishana na imani ya mtu zaidi unafundiaha mtu aamue mwenyewe.....Aaamen
Hii kilugha imekaaje,maana umekifanya kiza kuwa kama Mtendaji,jambo ambalo si sahihi.Kiza ndio kimekuwa ndio chanzo na asili yetu huu ndio ulimwengu wenye nguvu kuliko ulimwengu mwingine wa nuru.
Hapa ulitakiwa kuainisha ya kuwa ni uumbaji gani ulianza baada ya Mola kutenganisha jambo hilo ?Kutoka hapo ndio uumbaji ukaanza, kwa kutenga kiza na nuru...kwahiyo ikawa usiku(kiza)siku ya Kwanza.
Nina viporo nawe nitakurejea mida yetu ileHii kilugha imekaaje,maana umekifanya kiza kuwa kama Mtendaji,jambo ambalo si sahihi.
Asili au chanzo maana yake kutokana na hicho vingine huzalika. Mathalani jengo hali simami pasi na msingi,kisha tunakuja kuangalia malighafi (material cause) kisha tunakuja kumuangalia Muumba/Msanifu (First cause).
Labda useme ya kuwa kiumbe cha kwanza kuumbwa ni kiza,lakini kutokea hapa kuna takiwa kujadiliwa kielimu.
Imekuwaje likawepo ?Giza halikuumbwa lilikuwepo
Tuko pamoja.Nina viporo nawe nitakurejea mida yetu ile