Girl friend anahitajika baadae awe mke

narikuu

Senior Member
Jun 23, 2023
131
184
Sifa za mwanamme

Mrefu maji ya kunde,
Elimu degree,
Umri 30,
Mpole na mcheshi,
Kajiajiri,kipato cha kubadilisha mboga tu.
Makazi Dodoma

Sifa za mwanamke anaehitajika
Elimu kuanzia form four
Umri kuanzia 20 - 35 awe smart
Dini yeyote,rangi yeyote kimo chochote
Akiwa na mtoto asizidi mmoja
Awe anajishughulisha asiwe tegemezi,
Awe anapatikana Dodoma au maeneo ya karibu na dodoma
Awe anajielewa na awe na hofu ya Mungu
Aliyetayari pm ipo wazi
 
We una miaka 30 lakini mwanamke anaweza kuwa na 35...sasa hapo si inahitaji single Maza kabisa!
 
Yupo mmojaa Zanzibar nikupe namba? Ana mtoto mmojaa yuko form three
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom