ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 61,755
- 72,176
Mkurugenzi wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania TIC bwana Gilead Teri amesema mwaka 2024 ulikuwa ni mwaka wa mafanikio makubwa Kwa TIC kwani ilisajili miradi Mingi ipatayo 901 yenye thamani ya Shilingi Trilioni 23 na kuvunja rekodi ya mwaka 2012.
Bwana Teri amemshukuru na kumpongeza Rais Samia Kwa hamasa ya uwekezaji na kujenga mazingira Bora ya kuvutia uwekezaji Nchini.
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1876184545776546080?t=RwsxeBeDYEl0TFOBj4PdxA&s=19
Pia soma Gilead Teri: Sera za Uchumi za Rais Samia Zavutia Uwekezaji wa Trilioni 20 ($7.7b). Amfananisha na Deng Xiaoping Baba wa Uchumi wa China
My Take
Samia ataendelea kuweka rekodi na kuzivunja mwenyewe maana anajua kutafuta hela.
Naendelea kusisitiza watu wasipotoboa awamu ya 6 au kupata Ajira msije kulaumu,baada ya Samia wanakuja wale wa upande ule Kuharibu maisha ya watu.
Kazi Iendelee 👇👇
View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1876532366405214692?t=F6rqTKmhu-zrBqVuxnZbmA&s=19