Nyumba ya kifahari ghorofa moja inapangishwa kigamboni mjimwema. 0756590833, 0623579290
Kitchen Shelf, Pre Paid Meter, Dining Area, Air Conditioning, Pop Ceiling, 24 Hours Electricity, Dishwasher, Wardrobe, Kitchen Cabinets, Tiled Floor, Hot Water
ina vyumba vitatu vitatu na kimoja nje, yaani servant quarter, ina bembea ya watoto, sehemu ya basketball , generator, nk.
Baadhi ya furniture zipo ndani kama sofa, vitanda, kabati za nguo, sehemu ya kufanya mazoezi, chumba cha kusomea watoto, bustani, jiko kubwa sana.
Nyumba ni nzuri san na bei ni ndogo, wahi haraka kabla hakijachukuliwa, bei ni ni tsh 800,000 tu, piga simu haraka,
kuangalia nyumba ni bure kama utachukua, lakini kama hutaichukua utalipa 10000 ya tahadhari.