Hiyo ipo kwenye ratiba zangu mkuu! But hapa naweza kupata uzoefu zaidi ya kujua gharama!Kwann usiende kwenye ofisi za hizo ndege wanazosafirisha mizigo nafikiri huko utapata info zote muhimu na kwa ufasaha zaidi
Kama kwel uko makini na biashara yako fanya hivyo mkuu
Unawezaje kuuita ujinga mkuu!?? Hujui Kuna watu wanapeleka vyakula na hata nyama ya Mbuzi huko Gulf Countries? Tofautisha gharama ambazo unalipa uko over weight wakati wa kusafiri na Commercial Cargo cost!kusafirisha tani moja kwa ndege ni gharama kubwa sana.. hata mengi au tajiri kama bakhressa hawez fanya huo ujinga.. na haiwez kukulipa kamwe..
kwenye international business rules ni hivi.. mzigo wowote mzito wenye kg nyingi.. unapakiwa kwenye meli sababu meli haziangalii uzito wao ni cbm tu..
na mzigo mwepesi wowote ndio unapanda ndege...
maana gharama za ndege kwa 1 kg tu ni usd 10 mpaka usd 30.. sasa piga hesabu tani moja itakuwa kiasi gan??
Unawezaje kuuita ujinga mkuu!?? Hujui Kuna watu wanapeleka vyakula na hata nyama ya Mbuzi huko Gulf Countries? Tofautisha gharama ambazo unalipa uko over weight wakati wa kusafiri na Commercial Cargo cost!
Sitaki hata kujua unafanya wapi! Nachofanya Ni kukusanya Details za kutosha, unawezaje kuita Ujinga kusafirisha Tani 1 ya Cargo kupeleka Gulf Countries? Cha ajabu kipi? Haimaanishi sina nnachojua, nataka kupata information zaidi.nafanya kazi kwenye logistics industry... nakuelekeza unapanik...
mimi nimekupa rate ya airfreight cargo.. huwezi pakia mzigo tani 1 ambayo ni kg 1000 kwenye ndege ya abiria... mimi nakueleza wastani wa bei kwa rate za ndege za mizigo
Sitaki hata kujua unafanya wapi! Nachofanya Ni kukusanya Details za kutosha, unawezaje kuita Ujinga kusafirisha Tani 1 ya Cargo kupeleka Gulf Countries? Cha ajabu kipi? Haimaanishi sina nnachojua, nataka kupata information zaidi.
juzi niliunganishwa Na mtu yeye anapeleka Nyama Mbuzi Dubai! Kila wiki Mara 2, means Tani 2 kila wiki, wewe unamwita mtu Kama huyu mjinga?
Acha kashfa...!
Lugha yako haikua nzuri Mkuu! Kusema ni Ujinga kusafirisha mzigo kwa Ndege sio Lugha yenye staha, nikakupa mfano wa mtu anayepeleka Mbuzzi Dubai kwa Ndege mmara 2 kwa wiki, kwa njia ambayo unasema ni ujinga! Unaweza kuwa Na hoja but ukiingiza lugha mbaya haileti maana!tatizo lako unapanik tu.. ujinga sio kufanya biashara.. ujinga ni kusafirisha mzigo mzito kwa ndege.. wafanyabiashara wengi wanatumia meli sababu inawalipa.. ukitumia ndege cost zinakuwa juu na hata price yako itabidi iwe juu na hapo kuna ushindani.. lazima u cut cost..
kuna makontena special kwa ajili ya kusafirishia vyakula yapo kama mafriji kabisa... hayo ndio wafanyabiashara wa vitu vya kuharibika wanayatumia...
Unadhani Lugha ya Ujinga mdau alotumia Ni sawa!?? Kama angesema kutumia ndege wakati unaweza kusafirisha kwa Meli (Sio sawa) unadhani angepungukiwa Na nini?Hata tungekuwa na nia ya kukusaidia, hatuwezi kufanya hivo maana unaonekana huna unalotaka kujua. Kupanick sio suluhisho na kama unajua sana umeuliza ili iweje
Kuna mtu namfahamu anasafirisha tani kadhaa za madini kupeleka Thailand, mara zote husafirisha kwa kutumia ndege.nafanya kazi kwenye logistics industry... nakuelekeza unapanik...
mimi nimekupa rate ya airfreight cargo.. huwezi pakia mzigo tani 1 ambayo ni kg 1000 kwenye ndege ya abiria... mimi nakueleza wastani wa bei kwa rate za ndege za mizigo
Kuna mtu namfahamu anasafirisha madini kupeleka Thailand, mara zote husafirisha kwa kutumia ndege.
Usimkatishe tamaa mwenzio, unaweza ukawa kwenye sekta husika lakini usijue kila kitu.
Narudia tena, usifikiri unajua kila kitu.madini yana kilo 1000???? mi nimempa bei halisi ya ndege ilivyo.. aamue yeye.. na je faida ya madini ni sawa na mboga mboga.. sokoni??
Ni hivi mkuu, nimekaa Oman miezi 6 hivi, nimerudi Mara moja, Huko Kuna Mfanyabiashara mmoja Ana Min Super Market akiuza Chakula, Mboga na Matunda Tu! Binafsi pia nilikua mteja wake nikienda kununua mchele, matunda na Mboga mboga, anashusha mzigo kila wiki, lakini mzigo wake unatoka moja ya nchi za East Africa (Sio Tanzania).madini yana kilo 1000???? mi nimempa bei halisi ya ndege ilivyo.. aamue yeye.. na je faida ya madini ni sawa na mboga mboga.. sokoni??
Sure mkuu! Ntafanya hivyo but Kama unavyojua JF imebeba watu wenye uzoefu tofauti, so nikasema ngoja niweke huu Uzi hapa Ili kupata uzoefu zaidi toka kwa wadau!Usikatishwe tamaa, me nafikiri unahitaji tu kufanya research in details kwa kujaribu kuwasiliana na mashirika ya ndege tofauti tofauti ili kuangalia uwezekano pia unaweza kupata ushauri mzuri huko, ila naamini inawezekana...
Vipi mkuu OMAN oppurtunities zimekaaje hasa za ajira kwa wataalamu upande wa engineering nk..??
Hata ndege za kusafirisha mizigo pia ni ghali mkuu???kusafirisha tani moja kwa ndege ni gharama kubwa sana.. hata mengi au tajiri kama bakhressa hawez fanya huo ujinga.. na haiwez kukulipa kamwe..
kwenye international business rules ni hivi.. mzigo wowote mzito wenye kg nyingi.. unapakiwa kwenye meli sababu meli haziangalii uzito wao ni cbm tu..
na mzigo mwepesi wowote ndio unapanda ndege...
maana gharama za ndege kwa 1 kg tu ni usd 10 mpaka usd 30.. sasa piga hesabu tani moja itakuwa kiasi gan??