ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,368
- 50,737
Kwa mama ntilie mzuri asubuhi chai ya 1000 Inatosha, mchana chakula kizuri katika cafeteria nyingi ni 1500 au 2000 Tena unakuta ugali Safi wenye mboga zote muhimu maharage, mboga za majani, bamia, nyanya chungu, kabejiau dagaa... jioni unaweza kupata wali wako au ugali 1000-2000 wenye nyama na mboga za majani na maharage...kwa siku 5000 kwa mwezi utatumia chini ya 150000.
Lakini ukisema ujipikie mwenyewe kwa wale ma single boy au single girl ambao bado ni watafutaji wanaishi kigeto geto itakulazimu gesi 20000, mkaa let's say wa 10000, mchele kilo tano 10000, unga kilo tano 6000, mafuta ya kula 15000, maharage kilo tano 10000, mboga za majani kwa mwezi 15000, karoti na hoho zimepanda Bei Sasa hivi karoti 400 hoho 300 jumla kwa mwezi 20000, bado nyanya za jero ka mwezi 15000, vitunguu kwa mwezi 10000, sukari 5000 na mengineyo Kama vile majani, viungo e.t.c. let's say 10000 JUMLA INAKUJA KARIBU ZAIDI YA LAKI NA NUSU.hapo bado uoshe vyombo usugue masufuria ukoko huku wapangaji wa kike wakikuona NI Soo hasa hizi nyumba za chumba kimoja na hapo uwe na muda wa kupika sio chini ya dakika 40.
Hitimisho: Kwa jinsi gharama za maisha zinavyopanda na ongezeko la Bei Karibu kila bidhaa Basi naona Bora mtu utafute cafeteria nzuri unawapa kabisa hela ya mwezi ya kula Kama huwezi kukaa na hela na una matumizi mengi. Kingine NI kwamba msosi wa kujipikia mwenyewe wengi wanadai Haupati appetite ya kula. Na Kama kujipikia mwenyewe Basi napenda Sana makande labda na ndizi viazi nyama ambao naimani ntakula two meals.. Kama Leo nimepika makande yenye mchanganyiko wa maharage, mahindi, njugu, choroko na karanga. Ni matamu balaa naweza kukifanya kuwa chakula changu kikuu.
NB: Maada inahusu wale msio na familia NI kwa ma single boy au single girl waishio wenyewe geto. Nawasilisha
View attachment 2159689