ASHA NGEDELE JF-Expert Member Jul 5, 2011 784 327 Mar 16, 2017 #1 Habarini wadau. Naomba mnisaidie tararibu na makadirio ya gharama kuunganisha umeme. Eneo langu ni Kigamboni Kibada mita kama 200 toka nguzo ya mwisho.
Habarini wadau. Naomba mnisaidie tararibu na makadirio ya gharama kuunganisha umeme. Eneo langu ni Kigamboni Kibada mita kama 200 toka nguzo ya mwisho.
mikumiyetu JF-Expert Member Aug 16, 2016 1,311 944 Mar 16, 2017 #2 mita 200???,Hapo uandae pesa ya nguzo 7
ASHA NGEDELE JF-Expert Member Jul 5, 2011 784 327 Mar 16, 2017 Thread starter #4 mikumiyetu said: mita 200???,Hapo uandae pesa ya nguzo 7 Click to expand... Zote nalipia mteja?? Na gharama ni kiasi gani kwa Nguzo
mikumiyetu said: mita 200???,Hapo uandae pesa ya nguzo 7 Click to expand... Zote nalipia mteja?? Na gharama ni kiasi gani kwa Nguzo
TODAYS JF-Expert Member Apr 30, 2014 14,599 23,886 Mar 16, 2017 #5 Mita 200 unaweza kulipia nguzo moja ambapo sidhani kama itakuwa juu ya laki7 pamoja na kuunganisha.
ASHA NGEDELE JF-Expert Member Jul 5, 2011 784 327 Mar 17, 2017 Thread starter #6 Yeyote mwenye taarifa za uhakika please!