Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,715
- 4,452
Wakuu,
Namsalimu Mwigulu Nchemba kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kazi iendelee
===============================
Huko nchini Ghana aliyekuwa Waziri wa Fedha wa Ken Ofori-Atta, anatafutwa na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Maalum ili ajibu tuhuma za rushwa.
Tangazo hilo limetolewa rasmi kupitia tovuti ya ofisi hiyo ya mwendesha mashtaka.
Mwendesha Mashtaka Maalum, Kissi Agyaben, alifafanua wiki iliyopita kuwa ingawa Ofori-Atta aliagiza mawakili wake kushughulikia suala hilo, kuna mazingira yanayohitaji mtuhumiwa mwenyewe kufika kwa mahojiano badala ya kuwasiliana kupitia wanasheria wake.
Ofori-Atta anadaiwa kusababisha hasara kubwa kwa serikali, ikiwemo matumizi tata ya fedha za umma katika mradi wa ujenzi wa Kanisa Kuu la Kitaifa. Licha ya zaidi ya shilingi bilioni 151 za Tanzania kutumika, mradi huo umeachwa ukiwa gofu.
======================================================
Prosecutors have declared Ken Ofori-Atta, Ghana’s former finance minister, wanted over his alleged involvement in multiple corruption cases when he was a cabinet member.
Ofori-Atta was finance minister from January 2017 to February 2024 when the New Patriotic Party (NPP) was in power.
The former minister is also a cousin to Nana Akufo-Addo, Ghana’s immediate past president
Kissi Agyabeng, special prosecutor, said Ofori-Atta fled the country to evade investigations.
Agyabeng declared the former minister a fugitive, adding that all necessary steps would be taken to bring him back.
According to Agyabeng, Ofori-Atta’s lawyers said he was out of the country for medical reasons.
Ofori-Atta has been accused of causing financial losses to the state, including approving some $58 million for the construction of a controversial national cathedral.
Akufo-Addo conceived the cathedral as a tribute to God following his 2016 presidential election victory.
The former minister is also implicated in a contentious contract between the Ghana Revenue Authority (GRA) and Strategic Mobilisation Ghana Ltd. (SML), a company specialising in audit and insurance in the oil sector.
Source: The Cable Nigeria