Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,186
Madiwani wa Chama gani?Madiwani wa halmashauri ambazo mapato yake si makubwa na zipo Daraja A wameanza kulipwa mishahara
Gerson Msigwa amesema madiwani wanalipwa moja kwa moja kutoka hazina
Madiwani wanalipwa Tsh. 300,000 huku mwenyekiti wao akilipwa Tsh. 400,000
Waanze na Baba Askofu Mkuu Mbeba Maono Dr. Mhe.''Zoezi la chanjo litaanza kutolewa kesho kuna vituo kama 550 vilivyoandaliwa, chanjo hazijaleta madhara kwa waliotumia kama tulivyokuwa tunasikia. Chanjo zitaendelea kuletwa baada ya zile dozi milioni 1 kuna nyingine zitaendelea kuletwa''- @MsigwaGerson
#MsemajiWaSerikaliPress
HUYU GERSON MSIGWA WAKATI WA HAYATI MAGUFURI ALIKUWA ANASEMA CHANJO SIO SALAMA
Paskali anasema binadamu siyo robot, anabadirika kulingana na mazingira.HUYU GERSON MSIGWA WAKATI WA HAYATI MAGUFURI ALIKUWA ANASEMA CHANJO SIO SALAMA
Mbona anarukaruka, mara chanjo mara madiwani, inaonekana hana cha kuandika, mishahara ya madiwani inatusaidia nini sisi? Huduma za maji, umeme na barabara hakuna yeye anaona mishahara ndiyo jambo muhimu kuandikaMsemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Zoezi la chanjo litaanza kutolewa kesho kuna vituo kama 550 vilivyoandaliwa, chanjo hazijaleta madhara kwa waliotumia kama tulivyokuwa tunasikia. Chanjo zitaendelea kuletwa baada ya zile dozi milioni 1 kuna nyingine zitaendelea kuletwa
Vilevile Msigwa amesema Madiwani wa Halmashauri ambazo mapato yake si makubwa na zipo Daraja A wameanza kulipwa mishahara
Gerson Msigwa amesema madiwani wanalipwa moja kwa moja kutoka hazina
Madiwani wanalipwa Tsh. 300,000 huku mwenyekiti wao akilipwa Tsh. 400,000
Wanafiki hawajifichi, wanatambulika, tazama mdomo wa Msigwa, tazama macho yake, ukiwa makini utajua ni mchumia tumboHUYU GERSON MSIGWA WAKATI WA HAYATI MAGUFURI ALIKUWA ANASEMA CHANJO SIO SALAMA
Msemaji wa tumbo lakeMsemaji wa Serikali, Gerson Msigwa
Sasahiv ni salama kaweke bega unapewa dollar 100.HUYU GERSON MSIGWA WAKATI WA HAYATI MAGUFURI ALIKUWA ANASEMA CHANJO SIO SALAMA