Generation Z: Wanamapinduzi walioandika historia nchini Kenya

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
1,071
3,117
Kizazi kipya cha waandamanaji vijana wa Kenya waliozaliwa kuanzia mwaka 2000 kimeingia barabarani na kulazimisha serikali kubadilisha muswada wa wabunge uliopendekeza kodi ambayo haikuwapendeza watu wengi nchini Kenya, vijana hao walianzia TikTok,inafurahisha sana kuona vijana wa Generation Z wa Kenya kwa Tanzania ni sawa na kusema vijana waliozaliwa wakati wa Jakaya, vijana hao wameelimika wanajua wanachoandamania wanajua kujenga hoja mpaka police wanatoa ushirikiano 🤣tunashukuru bongo hakuna wanyonge serikali yetu ni sikivu na inatatua shida za wananchi wake,imesikia kilio cha nguvu za kiume tayari imeingiza 7B kwaajili ya utafiti 🤣🤣

Vijana wa mtaani nchini Kenya wanajua habari ya financial bill!inamaanisha wanafuatilia nchi yao inavyokwenda,kijana wa mtaani nchini Kenya anajua vifungu vyenye athari kwake vilivyomo kwenye financial bill, ukiwaangalia vijana hao waliomwagika barabarani ni vijana Graduates wallowing. Mbali ya Muswada wana yao Moyoni na kubwa zaidi kukosa ajira. Sera na nguvu kubwa zinapaswa kuelekezwa kwa kundi hili...na katika dunia hii ya mitandao kuona tu vile wenzao ni tuition kwamba inawezekana kwa hiyo tutafakari sote juu ya awa vijana japo hapa Tanzania vijana wengi hawana habari na kinachoitwa bunge la budget wala kujua inapitishwa lini, hata habari ya Mhe Luhaga Mpina wengi hawaijui,Dipi World kidogo waliijua lakini waliona sio kazi yao,jana na leo walikuwa busy kujadiliana kuhusu harusi ya "Davido na Chioma"

Huku uswahili wao wanajadiliana kuhusu sajili za Simba na Yanga hususani kuhusu mchezaji wa Zambia Claytous Chama,Chawa hawajui chochote zaidi ya kusifia na yuvisisiem na viongozi wao hata hawajui chochote kuhusu mjadala wa Budget wapo busy kujadiliana kuhusu jinsi ya kuendelea kumpongeza kiongozi mkuu kuwa ni mfano wa kuigwa duniani kote wanamlilia awe kiongozi wao hata kwa wiki moja tu ni ajabu sana vijana wa Tanzania vs Vijana wa Kenya, kwenye suala zima la exposure na namna ya kufuatilia maisha yao ya kesho katika taifa lao, lakini vijana wa kulishwa na kijiko wakianza kula wenyewe matonge tutamkumbuka Hayati Edward Lowassa aliposema vijana ni bomu linalokaribia kulipuka, alimaanisha Tanzania au kwa jirani(254), kimsingi, kundi la vijana linavyozidi kuwa kubwa, huku walala heri wakiwa na neema ya fursa (biashara, madili, kuteuliwa), walala hoi wakichoka ni hatari sana.

Niipongeze Serikali ya Zakayo kwa kupeleka bill bungeni kama alivyofanya Dr Madelu hapa bongo,lakini Serikali hiyo hiyo ya Zakayo ilipoletewa na bunge ili isaini ikaukataa muswada huo,baada ya mambo kuharibika, mali, maisha na heshima ya bunge kama taasisi ikiwa mavumbini, wenye mamlaka uwa wanajisahau, hii inaonyesha kiongozi ukiwa na malienge huoni vizuri wasaidizi wanashiriki kukuhujumu, uko vijijini wanaishukuru sirikali kwa ujenzi wa vyoo 🤣🤣nyani na tumbili hawawachungulii tena huko porini.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
 
2010 mpaka Leo ni miaka 14,Kama umefurahi na kuona ni jambo la maana kuvamia bunge na kulitia moto,kuiba Siwa,gari za polisi,kutokua na hoja pesa za kuendesha nchi zipatikane vipi,basi we ni mpuuzi tu Kama hao wapuuzi wa kenya
 
Cha ajabu vijana wa kitanzania wameamu kuwa chawa, machoko, wanabanduliwa, wauza pussie, walevi wakati nchi yao ipo pabaya zaidi.
 
2010 mpaka Leo ni miaka 14,Kama umefurahi na kuona ni jambo la maana kuvamia bunge na kulitia moto,kuiba Siwa,gari za polisi,kutokua na hoja pesa za kuendesha nchi zipatikane vipi,basi we ni mpuuzi tu Kama hao wapuuzi wa kenya
Kuna muda kesi ya kihuni inatatuliwa kihuni. Ukileta ustaarabu kwenye kesi ya kihuni ni ngumu kupata matokeo.
 
Haya mambo huwa hayatokei hivi hivi. Kenya walikufa sana watu kabla hawajaipata hii katiba inayolinda hadi waandamanaji.

Tuko tayari kulipia gharama au tuendelee kusifu na kuabudu? Tuwe wazee wa ndio unaupiga mwingi hata ukija mswada wa ushoga?

Only God Knows.
 
Huku Vijana Wetu wako bize na simba na yanga, wengine ni ushabiki wa diamond na hamonzi,

utawakuta TikTok na Facebook wanajdili upuuzi.

Vyuo vikuu vimekuwa vingi.lakini bure kabisa. Hakuna elimu
Ccm imeuwa nchi na kizazi chote kwa tamaaya kutawala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom