Gen Z wasema July 7 Ndio itakuwa Siku ya Uhuru wa Kenya na kuwakumbuka mashujaa waliouliwa kwenye Maandamano

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
96,036
168,456
Gen Z wanasema Bara la Africa halijawahi kuwa Huru bali ni Unyonyaji ulihamishwa kutoka kwa Mzungu na kuwaachia vibaraka wao Weusi

Sasa Gen Z ndio wanapigania Uhuru wa kweli na Leo ndio wanafanya Tamasha la kihistoria la kuwakumbuka mashujaa waliouliwa kwenye Maandamano na kwamba hii itakuwa ni Siku rasmi kwa kila mwaka na itakuwa ni Mapumziko kwa Wafanyakazi

Credit: Citizens tv

Pia soma
- LIVE - Yanayojiri Maandamano Kenya: Vifo vya waandamanaji vyafikia 26 baada ya watu wawili waliokuwa wakiendelea kupatiwa matibabu kufariki
 
Ifike mahala kuwe na kiongozi,Kenya nimakambale hata vidogo vinasharubu.Ruto kawahumble sana! Nikweli Tz kunaukilitimba na kutishana lakini kunahaja ya kusikiliza uongozi. western Democracy is not applicable to Africans.
Yesu alianza kutenda maajabu akiwa na miaka 12 tu 🐼
 
Ifike mahala kuwe na kiongozi,Kenya nimakambale hata vidogo vinasharubu.Ruto kawahumble sana! Nikweli Tz kunaukilitimba na kutishana lakini kunahaja ya kusikiliza uongozi. western Democracy is not applicable to Africans.
Ruto aliingizwa mtegoni na akajaa,,,,na ajiangalie anaweza akawa ndo kafara ya wakubwa
 
Wanachowaza Gen Z wa Tz sasaa.

20240615_132253.jpg
 
Ifike mahala kuwe na kiongozi,Kenya nimakambale hata vidogo vinasharubu.Ruto kawahumble sana! Nikweli Tz kunaukilitimba na kutishana lakini kunahaja ya kusikiliza uongozi. western Democracy is not applicable to Africans.
Ni sahihi kawachekea sana. Anashindwa kuwaweka kwenye viroba hao viongozi wao. Kashindwa kuchomeka hata watu wa usalama wafuatilie na kujua viongozi wa hao vijana.

Ngozi nyeusi haitakiwi kupewa uhuru wa namna hiyo.
 
Back
Top Bottom