Blessed Tajiri
Member
- Dec 16, 2023
- 57
- 82
Gen Z tupo?
Tumekuwa tukisemwa sana hadi na mabroo kuwa tumelala, tupo nyuma, ninwaoga kama kunguru kukimbiza mabawa, lakini je, hilo ni kweli?
Najua tuko wengi humu kwanini sasa kwanini hatushiriki kudai haki zetu?
Kizazi chetu ndio kinaongoza kutumia teknolojia vizuri hata millenials wanakaa sasa kwanini tupo kimya?
Tunapandishiwa bundles kila siku kimya, club house imezuiliwa kimya, sasa vuguvugu X (Twitter) kufungiwa kimya! Mnafikiri wataishia hapo? Tiktok itafuata, wataenda Insta na kote turudi zama za millenials kutumiana barua kwa njia ya posta.
Sisi wengi content creation ndio inatuingizia hela, sasa "UCHUMI WETU" unaguswa tuko kimya, why? We don't have kuingia barabarani kumake the difference, tuwaletee the fight ambako tunajua kupambana vizuri.
Tukisikia kuna mbongo anashindana sehemu anahitaji votes zetu huwa tunashow up vizuri, tukisikia kuna taifa limetuonea au kuna page imefanya udhalilishaji kwa mwezetu huwa tunaenda kuwaonesha, sasa hapa tunashindwa nini?
TCRA na Nape wanataka kutuharibia 'Uchumi' wetu zile page zao mbona tunaziangalia tu? Hashtag ya #FreeX wapi? Tunapandishiwa Tax kila siku hastag ya #AffordableInternet iko wapi? Kwanini hatuendi spam pages za international bodies watie presha Tz? Tuna group of individuals ambao wakiandika a text Dunia inasimama, tuna poets wazuri sana kwanini TUMELALA?
This is a wake up call to us all, lets all bring the fight the best way we know. Gen Z muda wetu wa kuvimba huu
Pia Soma