Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,713
- 13,463
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengineMkoa wa Geita uko kanda ya ziwa, Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, na unajulikana sana kwa shughuli za uchimbaji wa dhahabu. Ni mkoa wenye rasilimali nyingi za madini, na uchumi wake unategemea sana sekta ya madini pamoja na kilimo.
MUHTASARI WA MAENEO YA UTAWALA, MKOA WA GEITA
Katika muhtasari wa maeneo ya utawala, mkoa huu una halmashauri ambazo zimegawanyika katika mamlaka za miji na wilaya.
SOMA PIA: Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
1. Idadi ya Watu
Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, Mkoa wa Geita una jumla ya watu 2,977,608.2. Wilaya za Mkoa wa Geita
Mkoa wa Geita una Halmashauri 6 zinazojumuisha Mamlaka za Miji na Mamlaka za Wilaya.Mamlaka za Miji
- Halmashauri ya Mji wa Geita
- Kata 13
- Mitaa 65
- Vijiji 13
- Vitongoji 47
- Wilaya ya Chato
- Kata 23
- Mitaa -
- Vijiji 13 115
- Vitongoji 594
- Wilaya ya Bukombe
- Mamlaka za Miji Midogo 1
- Kata 17
- Mitaa
- Vijiji 64
- 348
- Wilaya ya Mbogwe
- Kata 17
- Vijiji 87
- Vitongoji 335
- Wilaya ya Nyang’hwale
- Kata 15
- Vijiji 62
- Vitongoji 273
- Wilaya ya Geita
- Mamlaka ya Miji Midogo 1
- Kata 37
- Vijiji145
- Vitongoji 593
3. Idadi ya Majimbo ya Uchaguzi
Mkoa wa Geita una jumla ya majimbo saba ya uchaguzi:- Jimbo la Geita Mjini
- Jimbo la Geita Vijijini
- Jimbo la Chato
- Jimbo la Bukombe
- Jimbo la Mbogwe
- Busanda
- Nyang'hwale