Gazeti la Mwananchi larejea hewani baada ya zuio la mwezi kuisha. Ni zile video tu au kuna la zaidi?

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
1,454
4,129
Screenshot_20241101-021350_1.jpg

Taarifa ya Kwanza iliyochapishwa na Mwananchi tangu kufungiwa

Wakuu,

Naona Mwananchi wamerudi mzigoni baada ya mwezi mmoja waliokuwa wamefungiwa kuisha.

Bado najiuliza ni zile video tu ndio zilikuwa chanzo au lilikuwa onyo kwa wengine kuufyata, kugeuza shingo pembeni na kuwa kasuku kipindi hiki cha uchaguzi?

PIA SOMA
- Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yasitisha Leseni ya Mwananchi kutoa maudhui mtandaoni kwa siku 30

- Siku ya Uhuru wa Habari: Hakuna Uhuru wa Habari, Bila Uhuru wa Kiuchumi wa Media/Waandishi wa Habari!. Media Njaa Inaweza Kuwa Huru?!
 
Tukumbushane kile kibonzo wengine itel zetu zilikuwa zimekufa.
 
Wakuu,

Naona Mwananchi wamerudi mzigoni baada ya mwezi mmoja waliokuwa wamefungiwa kuisha.

Bado najiuliza ni zile video tu ndio zilikuwa chanzo au lilikuwa onyo kwa wengine kuufyata, kugeuza shingo pembeni na kuwa kasuku kipindi hiki cha uchaguzi?
Na wengine wakileta uzushi na uchonganishi kama kina Mwanahalisi wapigwe ban
 
Hii ni kuhakikisha hakuna gazeti linaandika tofauti na yanavyo andika Uhuru na Habari Leo.
 
View attachment 3140129
Taarifa ya Kwanza iliyochapishwa na Mwananchi tangu kufungiwa

Wakuu,

Naona Mwananchi wamerudi mzigoni baada ya mwezi mmoja waliokuwa wamefungiwa kuisha.

Bado najiuliza ni zile video tu ndio zilikuwa chanzo au lilikuwa onyo kwa wengine kuufyata, kugeuza shingo pembeni na kuwa kasuku kipindi hiki cha uchaguzi?

PIA SOMA
- Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yasitisha Leseni ya Mwananchi kutoa maudhui mtandaoni kwa siku 30

- Siku ya Uhuru wa Habari: Hakuna Uhuru wa Habari, Bila Uhuru wa Kiuchumi wa Media/Waandishi wa Habari!. Media Njaa Inaweza Kuwa Huru?!
Hii ni kuhakikisha hakuna gazeti linaandika tofauti na yanavyo andika Uhuru na Habari Leo.
Uzushi gani walileta Mwananchi?

Uovu wa watawala unapowekwa wazi hadharani matokeo yake huwa ni watawala hao kushikwa na hofu Kuu na huwa wanaamua kuwashughulikia Watu walioanika uovu wao hadharani. Ukweli mchungu daima huwa una kawaida ya kuchoma Sana moyoni.
Hata gazeti la MwanaHalisi la Bw. Saed Kubenea liliwahi kufungiwa kwa kufichua uovu wote kabisa kuhusu mpango mzima wa kumteka Dkt. Ulimboka, waovu na wahalifu waliohusika na mpango huo wa kumteka Dkt. Ulimboka walipatajwa hadharani, wenyewe walipata hasira na kuamua kulifungia gazeti lililofichua uovu huo.
 
Back
Top Bottom