DR. Dau hata kama alikuwa msomi ambaye alijua anachokifanya lakini he was utterly corrupt. Anayetaka ukweli aitafute Audit Report ya CAG! I used to admire and respect this man..lakini Nikiangalia madudu yaliyofanyika pale..billions zimeliwa..watu wanapewa tenda kishkaji....Yaani ni kutokana na Dr. Dau kuna watu nilikuwa nawaheshimu sana kwenye private sectors (especially wahandisi-kama yule jamaa mwenye majengo pale Makumbusho-najua wengi mnamjua-mtu na mdogo wake-the so called successful Architect and electrical engineer nk)...kumbe wote zilikuwa figisu figisu. People being awarded tenders worth billions through back doors. Na hawa jamaa mtu na mdogo wake ndo walikuwa wanufaika wakuu wa huu ufisadi uliotukuka. I am sure hata Dau walimpa mpunga wake...
I am sorry kwa watetezi wa Dr. Dau. But this guy was simply corrupt and devoid of morals just like many fellow Tanzanians wanaotuibia right and left. That's why I always say...ufisadi hauna kabila, hauna dini, hauna sura! Mimi nikiona wanaomtetea Dr. DAU ndo nazidi kuamini kwamba watanzania wengi wetu sisi ni vilaza ambao hatupendi kusoma na kuutafuta ukweli tumekalia siasa na majungu. It is just a matter of WHEN and not IF before Dr. Dau na majambazi wenzake waliohujumu hela za wavuja jasho wa taifa letu kupelekwa kwenye vyombo vya sheria. Hakuna marefu yasiyo na mwisho. Kizazi cha leo tujifunze kwa umakini mkubwa sana.