Gaza haitamaniki imepigika haswa, Israel wanaendelea kufumua mitaro ya mahandaki na kushusha majengo

G Tank

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
2,163
8,239
USIAANZISHE VITA USIYOIWEZA, UKILIANZISHA USILALAMIKE UKIKANDWA !!

N:B: Majengo yanayolipuliwa kwenye video hayana watu, kama wamo ni magaidi

1733941073145.png


1733940538232.png










 
Oktoba 7 na iwe kwenye kumbukumbu za Gaza vizazi na vizazi. Wakaandike kumbukumbu hii katika miimo ya malango yao; watokapo na waingiapo wakaisome kumbukumbu hiyo. Na ikawe ishara kwao na vizazi vyao wasirudie tena!
Bado wajipange na kubwa kuliko labda wauwe wapalestina wote
 
Back
Top Bottom