Gari zuri kusafiria kifamilia

unapotaka gar ya familia njia nyepesi ni kujua yafuatayo
1. Bajeti yako ya hilo gari
2. Uwezo wako wa kumudu gharama za mafuta
3. Idadi ya watu kwenye familia
4. Gar ambayo ni chaguo lako kabla hujashauriwa
5. Eneo na accesibilty ya njia ya kufika nyumbani kwako
 
Kwa anayefahamu tafadhali naomba nijuze gari nzuri kusafiria na bei yake yard kwakuwa nataka kununua gari niondokane na matumizi ya pikipiki sasa
Noah old Model ni gari nzuri sana na ina nafasi nzuri, kwa watu watano mtasafiri vizuri sana
 
nazan wish itakufaa kama huko uendako sio maporin,mafuta inakunywa kidogo
 


Nashangaa anakuja kuuliza huku! hapo unakuta mkewe kamshauri tayari ila mbishi kweli kweli! Mimi naweza kumwambie gari zuri kwa familia yangu ni" Mitsubishi Montero - 4m40 turbo - 2800cc. Sasa bei yake ni: Tsh: 20,000,000/= does he has unlimited budget?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…