JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,726
Kama unanunua hizi gari za ulaya na unakuwa mjanja mjanja kwenye service na maintenance zingine basi huwezi kufika mbali kabla hujaanza kuzibatiza majina ajabu ajabu, mara pepo, mara jini, n.k.
Kama una mentality ya kuendesha tu na hukumbuki service basi hizi gari hazikufai. Mtamlaumu tu mtu alikushauri kununua lakini uzembe utakuwa ni kwa kwako.
Hizi screen shot nimeambatanisha hapa chini ni Audi A4 2.0 ya mwaka 2003. Gari inang'aa na ni namba DNU. Aiseee tulipokuja kupima na mashine tuliyokutana nayo tukaona tumechoka.
Hebu cheki
Kwanza ukianzia tu hapa System 7 kwenye gari haziko sawa. Engine ikiwa inaongoza ikiwa na DTC 15.
Tuache hiyo mifumo mingine tuishie tu kwenye engine.
Hebu ona...
Hivi unaendeshaje gari yenye mazingira kama hayo?
Straight forward, Engine coolant temp. sensor na intake air temperature sensor zishajifia na kwenye live data inasoma -54 C. Ukiacha hizo faults zingine, hizi sensor mbili tu zinamla mafuta hana hamu na hiyo gari.
Hiyo Camshaft position sensor ishajifia na gari inamsumbua kuwaka, na yeye bila kujua angeenda kuingia hasara kwa maana alikuwa anawaza akanunue battery nyingine.
Honestly speaking, Ni rahisi kurekebisha gari ya Ulaya/Marekani. Kuliko gari za Japan/Asia kwa sababu kuu tatu,
1. Gari za Ulaya/Marekani zipo sensitive sana kwenye kutrigger code(DTC's) linapotokea tatizo. Hivyo inakuwa ni rahisi kuona tatizo ukipima.
2. Ni rahisi mno kupata repair manual ya gari ya Ulaya/Marekani kuliko kupata Manuals za gari za Japan/Asia (Except kwa gari za Japan/Asia zinazouzwa soko la Ulaya/Marekani). Ukiwa na vifaa plus hizo manual kazi inarahisishwa sana.
3. Kuna muingiliano mkubwa sana wa mifumo baina ya gari za Ulaya/Marekani. Kwa mifano,
(a) ZF transmission zinatumiwa makampuni mengi sana ya magari kuanzia BMW, Audi, Landrover, Jeep n.k.
(b) Siyo Ajabu ukakutana na Jeep ina gearbox ya mercedes.
(c) Siyo ajabu ukakutana na Landrover ina engine ya BMW/Jaguar.
Haya yote yanarahisisha sana utatuzi wa matatizo wa magari ya Ulaya/Marekani.
Alamsiki.