Gari dar-bukoba choo ndani

Vaa adult diapers upande gari lolote. Ni mwendo wa mobile self contained. Unaachia mzigo ukiwa umekaa.

1724838699499.png
 
1. Happy Nation SAA 10 Jioni siti ni 2x2. VIP ina Choo.
2. Happy Nation @ 2 usiku, Siti 1x2 VVIP ila haina choo.
3. Abood Bus VIP ina choo, nadhani inatoka saa 10 jion.
Pia kuna Frester na Travel Partner..hizi nazo sina uzoefu nazo.

Ila nakushauri usije ukapanda Frester ya saa nane mchana na Travel Partner ya mchana, zinaongoza kwa kuwa daladala, mtapakia njiani hadi kuku, na hazijali muda. Kwao mteja ni mtumwa.

Wenye uzoefu zaidi wataongezea.
 
Chuma kipi hapo Cha uhakika nipande kinawahi fika na huduma zao nzur
 
Back
Top Bottom