Boss Man
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 458
- 991
Wakuu na wajuzi wa mambo ya magari naombeni msaada, jana wakati naendesha Gari (BMW X3) ghafla Alarm ikalia mara moja tu kucheki Dashboard nikaona Tire Pressure Light imewaka, nikajua tatizo ni upepo, kweli nikapita Mahali kwa pressure kucheki Tyre moja ya nyuma ilikuwa na misumari miwili
Basi nikazibiwa pancha, jamaa akanijazia upepo akacheki na tyres zingine kwa mara ya pili zote zilikuwa sawa lakini nilivyowasha gari Ile Taa pale kwa dashboard haijaondoka, yule jamaa aliyenizibia pancha akanambia Hadi nitembee kidogo ndio ikaondoka
Nimeendesha gari umbali wa zaidi ya kilometers 50 lakini Taa Bado inawaka!
Wenye Experience na hizi BMW hii Taa kuwaka ni kwamba itazima yenyewe? au inaondolewaje maana tatizo kwenye mataili hakuna tena