Gari aina ya Vitz inauzwa

Yimakatso

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
6,963
9,307
Gari ni mpya kama inavyo onekana kwenye picha.Bei 9.8 milion.maongezi yapo.
 
Vits mill 9? Au kwakuwa sijawah kuingia shop zaidi ya kununua mswaki?
kwa soko la sasa mkuu..uki import inakimbilia 8 na ushee..show room ndo wanajikaza na hizo 9 mil mkuu
juzi juzi hapa nilikua napiga survey izi show room za kinondoni....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…