Gamond boys leo wamewaka, wametupia magoli kwenye mataifa yao

Makavuli

JF-Expert Member
Aug 27, 2024
537
812
Naunga mkono hoja
 
Atakayepinga, alete ushahidi kamili.
 
Aa kiufupi kwa sasa wachezaji wanaotoka Ligi ya TZ wamekuwa first 11 ya team za taifa watokako
 
Ujinga ni upi ndugu tueleweshe labda tuujue?
Unadhani kuna umuhim wowote wa kuelezea jambo hili? Ok team ikifeli lawama kwa mwalimu alie na team , ikishinda kelele zinaenda kwa mtu ambae hajahusika kusafiri na team,

Bado unahitaj maelezo kuhusu ujinga?
 
Kwaiyo kibaya ni kipi apo, nimesema vijana wa gamond wamewaka kwa maana ya wachezaji wanaotoka yanga walioitwa timu za taifa zote sio taifa staz peke yake, ni maoni yangu kuwapa yanga credit kwa kazi kubwa waliyoifanya kwenye usajili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…