Gamond boys leo wamewaka, wametupia magoli kwenye mataifa yao

Makavuli

JF-Expert Member
Aug 27, 2024
537
812
Vijana wamepikwa wakapikika sasa wamekuwa msaada mkubwa kwenye mataifa yao,
Kule Kenya Duke abuya katupia goli maridadi kabisa, hapa Tanzania Mudathir yahya katupia pia, bila kusahau kule Zambia Kennedy musonda nae katupia!
Iyo ndio maana halisi ya wachezaji wakubwa na mambo yao ni makubwa!
Naunga mkono hoja
 
Vijana wamepikwa wakapikika sasa wamekuwa msaada mkubwa kwenye mataifa yao.

Kule Kenya Duke abuya katupia goli maridadi kabisa, hapa Tanzania Mudathir yahya katupia pia, bila kusahau kule Zambia Kennedy musonda nae katupia!

Hiyo ndio maana halisi ya wachezaji wakubwa na mambo yao ni makubwa!
Atakayepinga, alete ushahidi kamili.
 
Vijana wamepikwa wakapikika sasa wamekuwa msaada mkubwa kwenye mataifa yao.

Kule Kenya Duke abuya katupia goli maridadi kabisa, hapa Tanzania Mudathir yahya katupia pia, bila kusahau kule Zambia Kennedy musonda nae katupia!

Hiyo ndio maana halisi ya wachezaji wakubwa na
Aa kiufupi kwa sasa wachezaji wanaotoka Ligi ya TZ wamekuwa first 11 ya team za taifa watokako
 
Ujinga ni upi ndugu tueleweshe labda tuujue?
Unadhani kuna umuhim wowote wa kuelezea jambo hili? Ok team ikifeli lawama kwa mwalimu alie na team , ikishinda kelele zinaenda kwa mtu ambae hajahusika kusafiri na team,

Bado unahitaj maelezo kuhusu ujinga?
 
Kwaiyo kibaya ni kipi apo, nimesema vijana wa gamond wamewaka kwa maana ya wachezaji wanaotoka yanga walioitwa timu za taifa zote sio taifa staz peke yake, ni maoni yangu kuwapa yanga credit kwa kazi kubwa waliyoifanya kwenye usajili!
 
Back
Top Bottom