Gaming PC

Nyamwage

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
682
1,676
Wakuu

Nahitaji kununua gaming PC inayoweza kucheza euro truck simulator 2 bila kugandaganda yaani smooth tena kwa high graphic ni nini niangalie na kama unaweza kutoa dokezo la bei inaweza kua ngapi huko dukani condition yoyote iwe refurbished au used
 
kama game hilo tu wala huitaji kuwa na gaming pc.

nafikiri hizi hizi computer za i3,i5 na i7 zenye intel graphics kuanzia 4000 na ram 4gb au kuendelea zinakufaa.

hilo game ni moja game jepesi hata dual core cpu inacheza bila shida. muhimu tu ukiwa na dual core cpu basi uwe na hata gpu za nvidia gt series au amd hd series.
 
Hio pc ni Laptop ama Desktop? Budget kiasi gani?

Requirement za Euro truck

  • MINIMUM:
    • OS: Windows 7
    • Processor: Dual core CPU 2.4 GHz
    • Memory: 4 GB RAM
    • Graphics: GeForce GTS 450-class (Intel HD 4000)
    • Hard Drive: 12 GB available space
  • RECOMMENDED:
    • OS: Windows 7/8.1/10 64-bit
    • Processor: Quad core CPU 3.0 GHz
    • Memory: 6 GB RAM
    • Graphics: GeForce GTX 760-class (2 GB)
    • Hard Drive: 12 GB available space
Minimum machine yoyote yenye intel HD 4000 kupanda inacheza hili game bila Tatizo, Kwa lugha nyengine intel Core i3, i5 ama i7 gen ya 3 kupanda.

Ila kama unataka Kumax Graphics zote utahitaji kuwa na dedicated gpu ama Cpu mpya za Intel/Amd kuanzia Zen 3 Amd ama Tigerlake/Gen ya 11 intel, sema itaku cost karibia 1m ama zaidi.
 
Wakuu

Nahitaji kununua gaming PC inayoweza kucheza euro truck simulator 2 bila kugandaganda yaani smooth tena kwa high graphic ni nini niangalie na kama unaweza kutoa dokezo la bei inaweza kua ngapi huko dukani condition yoyote iwe refurbished au used
Core i5 itacheza vizuri processor 2.2GHZ NA GRAPHIC CARD NIVIDIA AU INTEL
 
kama game hilo tu wala huitaji kuwa na gaming pc.

nafikiri hizi hizi computer za i3,i5 na i7 zenye intel graphics kuanzia 4000 na ram 4gb au kuendelea zinakufaa.

hilo game ni moja game jepesi hata dual core cpu inacheza bila shida. muhimu tu ukiwa na dual core cpu basi uwe na hata gpu za nvidia gt series au amd hd series.
Uko sahihi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom