Game ya Tarehe 8 March, Simba ina Pressure zaidi kuliko Yanga

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
3,016
6,678
Sababu ni moja tu :
Wamefungwa mara nne(4) mfululizo na katika hizo kuna moja kapigwa goli 5.

Hivyo hii game inayokuja Simba wameipania kupita kiasi maana ikitokea wakafungwa tena ITAKUWA NI AIBU NA FEDHEHA KUBWA ZAIDI na pale makao makuu ya Simba hakutakalika.

Kwa upande wa Yanga wao hawana pressure yoyote ile kwasababu hata wakipoteza itakuwa sio issue sana kwao kwakuwa tayari kampiga Simba mitama ya kutosha.

Kuna mdau pia amedokeza kuwa hata Tff wanataka Simba ishinde na wamemuweka Refa ambaye inaaminika ni Yanga damudamu ili akiwaumiza kusiwe na kelele nyingi
 
Yanga SC wanahitaji ubingwa pressure ipo, pia Ndiyo wakati wa mavuno kwa wachezaji
 
Sababu ni moja tu :
Wamefungwa mara nne(4) mfululizo na katika hizo kuna moja kapigwa goli 5.

Hivyo hii game inayokuja Simba wameipania kupita kiasi maana ikitokea wakafungwa tena ITAKUWA NI AIBU NA FEDHEHA KUBWA ZAIDI na pale makao makuu ya Simba hakutakalika.

Kwa upande wa Yanga wao hawana pressure yoyote ile kwasababu hata wakipoteza itakuwa sio issue sana kwao kwakuwa tayari kampiga Simba mitama ya kutosha.

Kuna mdau pia amedokeza kuwa hata Tff wanataka Simba ishinde na wamemuweka Refa ambaye inaaminika ni Yanga damudamu ili akiwaumiza kusiwe na kelele nyingi
Sasa tukusaidie nini
 
Back
Top Bottom