wakuu cm natumia mwenyewe haina tatizo lolote na sababu ya kuiuza nahitaj kubadili cm,cm yangu galaxy s4 ina android version 5.0.1,ina internal memory 32GB,kama unaswali lolote usisite niulize
N.B: sim ni original haina tatizo lolote na bei ni tsh 350,nakupa uikague kabla ya kufanya manunuzi,karibuni
View attachment 320146View attachment 320147View attachment 320148