Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,968
- 32,660
Alisema anajua. Anatafutwa na Marekani na siku yoyote atauliwa
BAADA ya kifo sikuwahi sikia HATA nchi ya afrika uliohuzunika na kusema polen WA Libya
Mwamba huyu NDIE PEKEE aliapa kama Marekani wanataka mafuta basi iwe kwa MASLAHI ya wananchi wake
Akawawekeaaaa masharti wakamkataliaa hahaha alawambia subirini nife MJE chukua ama mniue
HAKIKA mwamba umeuwaawaa wananchi wanateseka wanalia zile ofa zako kwa wananchi hazipo Tena mabeberu waporaji wamevamiaaaa nchi yakooo
Na sasa taabu na dhiki ziko juu yaoooo
Burian GADAFFI ameibuka mwamba MMOJA huko Ukraine anaitwa zelesnky HAKIKA Yale uliyoyafanya uliyotaman kuendelea kufanya kwa wananchi wako ndicho anakifanya
Burian GADAFFI
Mar....walitaka kudhulumu madini ya WA Ukraine HATA hivyo Mungu akamuimarisha kijana mdogo RAIS wao Zelesnky na kufikia KUWATETEA WA Ukraine na mali zao haitoshi kijana amekuwa RAISI WA kwanza kuwachana live RAISI WA markekan na makamu wake bila AIBU
TUnakuomba MALAIKA anaekulinda UKo uliko endelea kumwombea mwamba wetu Zelesky asimamie haki na amani na ulinzi kwa taifa lake na sio KURUHUSU utapeli WA mali za nchi yake bila MASLAHI yoyote
Cont Rip
GAdaffi