johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,035
- 164,304
Hakika Cheo ni dhamana
Baada ya motion ya impeachment kupita ndani ya Baraza la Seneti Wanahuduma wote wa Naibu Rais Gachagua waliamriwa kuondoka hivyo Riggy akabaki na uraia wake wa Kawaida
Baada ya Mahakama kuingilia Kati na kuweka Zuio la muda Gachagua asiondolewe Walinzi na Madereva wamerudishwa
Hii imenikumbusha siku mh Nape Nauye alipotumbuliwa kama Waziri wa Tehama akiwa ukumbini Mlimani City
Hakika Cheo ni dhamana 🐼