Gachagua awalaani Polisi waliomteka mtoto wa Mwanasheria mkuu, asema kama AG anafanyiwa hivi itakuwaje Kwa Mwananchi wa kawaida?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,099
164,470
Wakati hapa Tanzania Watu wanajadili kutekwa Kwa Mwakalebela huko Ubungo na kukutwa Katavi ametupwa huko Kenya nako hakuko poa

Naibu Rais mh Gachagua amewalaani Polisi waliomteka mtoto wa mwanasheria mkuu wa Serikali

Gachagua amesema iwapo mwanasheria mkuu anafanyiwa haya hali ikoje Kwa wananchi wa kawaida?

Credit: Citizen TV

Jumaa Mubarak 😀😀
 
Back
Top Bottom