G55 wajipanga kuhama CHADEMA, lengo ni kusaka frusa za Ubunge, Udiwani.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
22,280
49,816
Ni baada ya Chadema kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi.

Mrema awasihi watia nia Ubunge na Udiwani kuwa watulivu kusubiri maamzi ya chama.

My Take; Kama wameamua kuhama wanasubiri maamzi ya chama kipi wanachotoka au wanachohamia.

1745381838362.png
 
stop posting this rubbish so-called gazeti
The important is to get the information from everywhere whether is right or wrong, misinformed or disinformed. Ni wewe na akili yako kuzichuja.

Siku hizi watu wengi hawaangalii TBC TV hawasikilizi radio TBC fm si kwamba hazina habari bali habari zao hazipendwi na wengi, lkn vyombo hivyo vipo.
 
Back
Top Bottom