Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 22,242
- 41,829
Kila siku mnasema kundi lenu linawakilisha watia nia wa udiwani na ubunge. Mbona sijasikia mkisema mna mtia nia ngazi Urais!?
Naona kama hizi bidii zenu ni kubwa sana kama vile zinachagizwa zaidi na Mgombea Urais kuliko hao watia nia wa Udiwani na Ubunge mnaowataja Kila siku.
Jee G55 kundi lenu halina mtia nia wa ngazi ya Urais?