G55 kujitoa Chadema siku chache zijazo?

Elias Msuya

Member
Dec 23, 2011
18
55
g55-pic.jpg

Kundi la G55 linahusisha viongozi na makada wa Chadema waliotia nia ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, liko mbioni kutafuta chama mbadala kutimiza ndoto zao.
Soma pia: G55
Kundi hilo limewaambia waandishi wa habari jana Aprili 22 jijini Dar es Salaam kuwa linashauriana na makundi mbalimbali ya kidemokrasia kuhusu hatima ya watia nia ya urais, ubunge na udiwani wa chama hicho.

Hiyo ni kutokana na hatua ya Chadema kutosaini kanuni za maadili za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Aprili 14, jijini Dodoma, huku pia ikiendelea na kampeni yake ya No Reforms No Election (Hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi).

Kupitia kampeni hiyo, Chadema wamesema hawatasusia uchaguzi, bali watauzuia usifanyike.

Hata hivyo, suala la Chadema kutoshiriki uchaguzi limepingwana na G55 wakisema wanaunga mkono mabadiliko lakini sio kususia uchaguzi.

Kundi hilo linahusisha makada waliokuwa wakimuunga mkono aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe katika uchaguzi wa chama hicho wa Januari 22, 2025, ambapo Tundu Lissu alishinda uenyekiti na John Heche alishinda umakamu mwenyekiti (Bara).

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, msemaji wa kundi hilo, John Mrema amewataka wanachama wa Chadema walioweka nia ya kugombea katika uchaguzi wa mwaka huu, wasubiri maelekezo.

“Tunaendelea kushauriana na makundi mbalimbali ya demokrasia wenye nia ya kupata njia nzuri halali na yenye tija zaidi itakayowezesha watu kutimiza ndoto zao, matamanio na matumaini ya Watazania kupata viongozi na wawakilishi mbadala, kutoka katika kundi kubwa la wanasiasa na viongozi mahiri wa Chadema,” amesema bila kutaja makundi wanayoshauriana nayo.

Amesema G55 itatoa taarifa za kina zaidi kuhusiana na juhudi wanazoendelea nayo hivi karibuni.

“Kwa hiyo tunawasihi viongozi na wanachama wa Chadema, watulie, hivi karibuni, sio muda mrefu sana, kwa sabau tunaangalia njia bora na tunaendelea kushauriana na viongozi wetu, watusahuri namna nzuri ya kukishikilia chama chetu kisiparanganyike,” amesema.

Licha ya kampeni ya No Reforms No Election kupitishwa na vikao vya Chadema, Mrema aliwaambia waandishi wa habari Aprili 6, 2025 kuwa haikumaanisha kwamba chama kisishiriki uchaguzi, bali ni kuyaleta pamoja makundi yanayotaka mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.

Hata hivyo, ndoyo ya Chadema kushiriki uchaguzi huo ilifutika baada ya kuacha kusaini kanuni za maadili.

Mrema amedai kuwa kuna maelfu ya wanachama wa Chadema waliokatisha tamaa na wameanza kukihama jchama hicho.

“Tumesikia kule Ruvuma madiwani wameondoka, tumepsikia kule Arumeru aliyekuwa mtia nia ameondoka kwenye chama na wengine wanauliza, tufanye nini? Kwa sabau wapo wanachama wengi wa Chadema wenye ndoto ya kuwatumikia wananchi.

“Wapo madiwani 85 wanauliza kwa sababu wao tayari wanaamini wanaweza kufanya kazi nzuri uya kuwawakilisha wanachi, wafanye nini? Wito wetu tunawaomba watulie kwa sasa.

“Wakati tukiendelea kutafakari pamoja na chama chetu, tunawasihi na kuwashauri watia nia wote wa urais, ubunge na udiwani, watulie ndani ya Chadema, wasifanye maamuzi ya haraka na ya hasira, wasihame chama wala wasikate tamaa za kuendelea na shughuli za siasa,” amesema.

Aprili 21, Chama cha Wananchi (CUF) kilitoa taarifa ya kusisitiza kuwa kitashiriki uchaguzi, huku kikiwaalima G55 kugombea kupitia chama hicho.

Tayari ACT Wazalendo kimeshaanza kutoa fomu za kugombea nafasi mbalimbali ikiwemo nafsi ya urais wa Jamhuri ya Muungano ambayo, Kiongozi wa chama hicho, Dorothy Semu amechukua fomu.

Kwa upande wa CCM tayari wameshampitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano na mgombea mwenza wake ni Katibu mkuu wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi na kwa Zanzibar wamempitisha Rais Hussein Mwinyi.

Pia wametangaza kuanza mchakato wa kura za maoni kwa wabunge na madiwani ifikapo Juni 28, 2025.
 
View attachment 3312977

Good ndio inavyotakiwa
 
In fact,
kwa mwanasiasa vocal, vibrant na visionary mwenye malengo hawezi kusalia kwenye dead political party,

kwasabb ana malengo ni wazi atatafuta mahali pa angalau kumaintain malengo na dhamira yake kisiasa.

washupaza shingo wasio na malengo watabaki kuropoka tu 🐒
 
Wachukueni wenzenu hao muwape Ubunge na udiwani sisi hatuwataki chamani.
 
Tunaendelea kushauriana na makundi mbalimbali ya demokrasia wenye nia ya kupata njia nzuri halali na yenye tija zaidi itakayowezesha watu kutimiza ndoto zao, matamanio na matumaini ya Watazania kupata viongozi na wawakilishi mbadala, kutoka katika kundi kubwa la wanasiasa na viongozi mahiri wa Chadema,” amesema bila kutaja makundi wanayoshauriana nayo.
Labda mjiunge kama wanachama wapya kwenye hayo makundi na si kama wagombea kwenye uchaguzi ujao.

Sidhani kama hayo makundi/vyama watakuwa tayari kuwapa hizo nafasi na kuwaacha wajenzi wa hivyo vyama.
 
View attachment 3312977
Kundi la G55 linahusisha viongozi na makada wa Chadema waliotia nia ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, liko mbioni kutafuta chama mbadala kutimiza ndoto zao.
Soma pia: G55
Kundi hilo limewaambia waandishi wa habari jana Aprili 22 jijini Dar es Salaam kuwa linashauriana na makundi mbalimbali ya kidemokrasia kuhusu hatima ya watia nia ya urais, ubunge na udiwani wa chama hicho.

Hiyo ni kutokana na hatua ya Chadema kutosaini kanuni za maadili za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Aprili 14, jijini Dodoma, huku pia ikiendelea na kampeni yake ya No Reforms No Election (Hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi).

Kupitia kampeni hiyo, Chadema wamesema hawatasusia uchaguzi, bali watauzuia usifanyike.

Hata hivyo, suala la Chadema kutoshiriki uchaguzi limepingwana na G55 wakisema wanaunga mkono mabadiliko lakini sio kususia uchaguzi.

Kundi hilo linahusisha makada waliokuwa wakimuunga mkono aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe katika uchaguzi wa chama hicho wa Januari 22, 2025, ambapo Tundu Lissu alishinda uenyekiti na John Heche alishinda umakamu mwenyekiti (Bara).

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, msemaji wa kundi hilo, John Mrema amewataka wanachama wa Chadema walioweka nia ya kugombea katika uchaguzi wa mwaka huu, wasubiri maelekezo.

“Tunaendelea kushauriana na makundi mbalimbali ya demokrasia wenye nia ya kupata njia nzuri halali na yenye tija zaidi itakayowezesha watu kutimiza ndoto zao, matamanio na matumaini ya Watazania kupata viongozi na wawakilishi mbadala, kutoka katika kundi kubwa la wanasiasa na viongozi mahiri wa Chadema,” amesema bila kutaja makundi wanayoshauriana nayo.

Amesema G55 itatoa taarifa za kina zaidi kuhusiana na juhudi wanazoendelea nayo hivi karibuni.

“Kwa hiyo tunawasihi viongozi na wanachama wa Chadema, watulie, hivi karibuni, sio muda mrefu sana, kwa sabau tunaangalia njia bora na tunaendelea kushauriana na viongozi wetu, watusahuri namna nzuri ya kukishikilia chama chetu kisiparanganyike,” amesema.

Licha ya kampeni ya No Reforms No Election kupitishwa na vikao vya Chadema, Mrema aliwaambia waandishi wa habari Aprili 6, 2025 kuwa haikumaanisha kwamba chama kisishiriki uchaguzi, bali ni kuyaleta pamoja makundi yanayotaka mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.

Hata hivyo, ndoyo ya Chadema kushiriki uchaguzi huo ilifutika baada ya kuacha kusaini kanuni za maadili.

Mrema amedai kuwa kuna maelfu ya wanachama wa Chadema waliokatisha tamaa na wameanza kukihama jchama hicho.

“Tumesikia kule Ruvuma madiwani wameondoka, tumepsikia kule Arumeru aliyekuwa mtia nia ameondoka kwenye chama na wengine wanauliza, tufanye nini? Kwa sabau wapo wanachama wengi wa Chadema wenye ndoto ya kuwatumikia wananchi.

“Wapo madiwani 85 wanauliza kwa sababu wao tayari wanaamini wanaweza kufanya kazi nzuri uya kuwawakilisha wanachi, wafanye nini? Wito wetu tunawaomba watulie kwa sasa.

“Wakati tukiendelea kutafakari pamoja na chama chetu, tunawasihi na kuwashauri watia nia wote wa urais, ubunge na udiwani, watulie ndani ya Chadema, wasifanye maamuzi ya haraka na ya hasira, wasihame chama wala wasikate tamaa za kuendelea na shughuli za siasa,” amesema.

Aprili 21, Chama cha Wananchi (CUF) kilitoa taarifa ya kusisitiza kuwa kitashiriki uchaguzi, huku kikiwaalima G55 kugombea kupitia chama hicho.

Tayari ACT Wazalendo kimeshaanza kutoa fomu za kugombea nafasi mbalimbali ikiwemo nafsi ya urais wa Jamhuri ya Muungano ambayo, Kiongozi wa chama hicho, Dorothy Semu amechukua fomu.

Kwa upande wa CCM tayari wameshampitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano na mgombea mwenza wake ni Katibu mkuu wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi na kwa Zanzibar wamempitisha Rais Hussein Mwinyi.

Pia wametangaza kuanza mchakato wa kura za maoni kwa wabunge na madiwani ifikapo Juni 28, 2025.
Waende kabisa hao chawa
 
Labda mjiunge kama wanachama wapya kwenye hayo makundi na si kama wagombea kwenye uchaguzi ujao.

Sidhani kama hayo makundi/vyama watakuwa tayari kuwapa hizo nafasi na kuwaacha wajenzi wa hivyo vyama.
Chama kama ACT unadhani bara kina watu? Hukuona uchaguzi uliopita Membe (rip) akihutubia majani? Hawa kwa ACT ni mali sana. Ubaya ni kwamba wanajua nje ya CHADEMA hawana nguvu ndiyo maana anatishia. Mtu kama huyu Mrema kama siyo kubebwa na Mbowe ana ushawishi gani? Anaweza kuitisha mkutano hata wa watu mia moja?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom