Futeni Kodi ya fire

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
841
1,492
Binafsi sioni umuhimu wa kutozwa kodi ya fire kutokana na sababu zifuatazo:- (1) Hakuna chombo cha moto wanachotoa kwa wafanyabiashara. Ingekuwa vema kama wanapotozwa kodi wanagawiwa fire extinguisher kitu ambacho hakipo. (2) Hakuna elimu yeyote wanayotoa kwa wafanyabiashara licha kulipa kodi hii. Ninaishauri Serikali kuachana na tozo ya fire ambayo haimnufaishi mfanyabiashara.
 
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom