Sure Mkuu hajarelax kabsaaaHahaha yani magufuli angekuwa kazamia kwenye hiyo futuru angetambulika mapema sana.
Ila namzimia jamaa, yuko kishkaji kweli hana ubabe kama wengineYaani huyo Sheikh wa DSM kwa kuhudhuria hafla anatisha!!?
Ni yule Sheikh anaefukuza majini, anajitangaza sana insta, jina nimelisahau.Kuna kajamaa kafupi kamepigia nyekundu, ndiyo nani hiyo?
Mbona Askofu Gwajima wamemtosa kwenye mualiko?Rais Magufuli akiwa na viongozi mbalimbali wa dini(Katika Picha) waliojumuika pamoja wakati wa kufuturu, katika futari aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016.
CC Precise Pangolin Ritz