Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Bei inadepend na ukubwa. Wanaanza nch 3 kwa 300@ hadi inch 7 kwa 500@ .Weka Na bei usiwe kama zile shule
Na hawa wanakuwa ni jinsia moja au mchanganyikoBei inadepend na ukubwa. Wanaanza nch 3 kwa 300@ hadi inch 7 kwa 500@ .
Kambale huwa ni mchanganyiko. Ila hawazaani kwenye mabwawa. Namaanisha katika hali ya captivity kambale hawafanyi reproduction.Na hawa wanakuwa ni jinsia moja au mchanganyiko
Tunapatkana mwanza. Tunasafirisha mikoa yote tz.Unapatikana wapi mkuu
Mwanza kubwa sehemu gani mpo.Karibu tuko mwanza tutakupatieni na design za mabwawa
Hivi kamanga ndio iko hapa mbele ya ofisi ya mkuu wa mkoa? Mabwawa yatakuwa ndani ya ziwa kama vizimba au vipi?Napatika mwanza mjini samaki wako kamanga ukivuka dakika15
Poa vipi sato wenu wanakua vizuri?Ukivuka upande wa pili