Heri ya mwaka mpya.
2017 FURAHA ni HAKI yako. Mawazo ya HOFU ndani ya mtu hayana uhalisia bali ni zao la TABIA za hofu tulizorithi kwenye jamii na ambazo mtu anaweza kuziacha akipata UFAHAMU. Mfano: watoto huogopa kulala gizani na pia huogopa baadhi ya picha kwasababu hawana ufahamu kuwa kulala gizani hakuna hatari, pia picha in picha tu haina uhalisia............itaendelea.