Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 15,791
- 33,488
Katika jamii yetu hivi sasa kuna namna wanawake huwa wanapotoshwa kwa kile huitwa wanawake wanaweza kufanya chochote sawasawa na Mwanaume.
Ukweli mchungu ni kwamba Mwanamke hata akiwa komandoo,akiwa na elimu ya PhD,akiwa milionea,akiwa mfanyabiashara mkubwa sana n.k bado hawezi kuishi kwa furaha,amani na utulivu bila uwepo wa MWANAUME.
Mwanamke hatakiwi kulinganishwa na mwanaume hata siku moja, mwanamke hatakiwi kushindana na wanaume hata siku moja.
tuangalie hapa
mwanaume na Mwanamke sio sawa kwa muktadha huu.
Mwanamke akiwa na umri wa miaka 38 ,akiwa na PhD,au akiwa milionea, akiwa na cheo kikubwa,au umaarufu, nyadhifa mbalimbali katika jamii n.k wakati huohuo akiwepo mwanaume ambaye umri wake ni miaka 38 mwenye PhD, akiwa milionea,au akiwa mfanyabiashara mkubwa sana,akiwa mtu mwenye wadhifa mkubwa sana katika jamii.
mwanaume anakuwa na nafasi kubwa sana ya kumpata Mwanamke wa ndoto zake haraka lakini kwa upande wa Mwanamke inakuwa kinyume chake.
kadiri mwanaume anavyozidi kupata mafanikio makubwa sana iwe kielimu, cheo, umaarufu, nyadhifa n.k katika jamii mvuto wake kwa wanawake huwa inazidi kuongezeka sana lakini kwa upande wa Mwanamke kadiri Mwanamke anavyozidi kupata mafanikio makubwa sana ya kiuchumi, kielimu, cheo, umaarufu, nyadhifa mbalimbali ndivyo mvuto wake kwa wanaume unapungua.
mwanamke huwa anataka apate mwanaume ambaye anamzidi kiuchumi, kielimu, cheo, umaarufu, nyadhifa mbalimbali lakini kwa upande wa mwanaume inakuwa kinyume chake mwanaume huwa anatafuta mwanamke kwa kuangalia Mwanamke mwenye elimu kidogo,asiwe na uchumi mkubwa kumzidi,asiwe ba umaarufu mkubwa kumzidi,asiwe na nyadhifa kumzidi.
Hii maana yake mwanamke yeyote ambaye hujiita mpambanaji huwa na wakati mgumu sana kupata mwenza wa kuishi naye.
uwezekano wa Mwanamke mwenye mafanikio makubwa sana ya kiuchumi, kielimu, cheo, umaarufu, nyadhifa mbalimbali kuwa single mother ni mkubwa sana kulinganisha na Mwanamke ambaye hana mafanikio makubwa sana.
Hii ni kwa sababu wanawake wengi wenye mafanikio makubwa sana huwa wanakosa hulka ya kujishusha, kumheshimu mwanaume, kuonyesha utii na unyenyekevu kwa sababu kwanza anatafsiri unyenyekevu kama utumwa, anatafsiri kujishusha kama kujidhalilisha, anatafsiri kuonyesha utii ni kushusha brand yake.
kwa mantiki hiyo mara kwa mara huwa kunaibuka matukio ya kufokeana, kutoana dosari za muonekano, kunyimwa unyumba, kujibizana, kugombana, kupeana kashfa na tuhuma za usaliti, kutishiana kuachana, kutukanana,
mwanaume anaona anakosewa heshima na Mwanamke anaona anageuzwa mtumwa hapo ugomvi na migogoro kila siku.
Ndio maana siku hizi ni kawaida kukuta Mwanamke akiwa na umri wa miaka 35 bila mume au mwanaume wa kueleweka,zaidi anakuwa single mother au anakuwa amezaa kila mtoto na baba yake lakini wakati huohuo Mwanamke anakuwa na mafanikio makubwa sana ya kiuchumi, kielimu, cheo, umaarufu, nyadhifa mbalimbali katika jamii.
Hii maana yake bado Mwanamke furaha yake,amani yake na utulivu unategemea uwepo wa MWANAUME IMARA.
nini chanzo cha wanawake wengi kujiita strong independent woman, super woman, wakanda forever, mwanamke wa thamani n.k ni zao la kukosekana kwa MWANAUME IMARA ndani ya familia.
Ukweli mchungu ni kwamba mwanaume anatakiwa kuwa kiongozi iwe kwa kupenda au bila kupenda .
Wanaume wengi hawana sifa za uongozi ndio maana wengi wakiwa na fedha,vyeo, umaarufu, nyadhifa mbalimbali katika jamii huonyesha dharau, majivuno, kiburi, ujuaji, misimamo mikali,kutesa wenza wao,kuja nyumbani na wanawake mara kwa mara analala na mahawara ndani kwenye kitanda anacholalia mkewe,mara kwa mara mwanamke anapitia kipigo, fumanizi za mara kwa mara,kunyimwa unyumba, kuingiliwa kinguvu,kupigwa , kufokewa, kutukanwa, kutelekezwa na ujauzito au watoto, kugombezwa, kukaripiwa, kudhalilishwa,,kunyimwa chakula na matunzo
mwanaume anasafiri na mahawara anakwenda kulewa huku nyumbani hakuna chakula na anapigiwa simu anajibu kwa dharau,anaanza kuporomosha matusi ya nguoni kwa kudai yeye ndiyo mwanaume na yeye ndiyo kichwa cha familia.
Ukweli mchungu ni kwamba kama mwanaume akiwa mlevi kupindukia, mwizi, msaliti wa mara kwa mara,mwanaume akiwa hatoi huduma zozote,mwanaume akiwa dikteta ndani ya familia,mwanaume akiwa anakuja na mahawara ndani kwenye kitanda anacholalia mkewe n.k lazima wanawake waanze harakati za kujikomboa kwenye kile huitwa mfumo dume
kwa kuhitimisha mwanaume pekee ndiye anaweza kuhakikisha amani, furaha na utulivu wa Mwanamke ndani ya familia wala sio uwezo wa Mwanamke kuwa feminist,kuwa strong independent woman,kuwa Mwanamke wa thamani n.k
Mwanamke hata kama atachukua mkopo kwenye VIKOBA awe milionea leo bado amani, utulivu na furaha yake inategemea uwepo wa MWANAUME IMARA.
Mwanamke anaposhindwa kumuamini mwanaume ni wazi kwamba anakwenda kuwa single mother kwa sababu ugomvi na migogoro ndani ya familia itakuwepo kila siku
vilevile hata kama mwanaume atakuwa mwema sana bado Mwanamke atakuwa na wasiwasi juu ya tabia za mwanaume husika.
jamii inatakiwa kuwekeza kumjenga mwanaume sio Mwanamke kwa sababu mwanamke hata akiwa komandoo, akiwa milionea n.k bila mwanaume muadilifu,mwanaume Rijali,mwanaume kiongozi shupavu ambaye anajua kuongoza familia kwa haki na uadilifu bado MWANAMKE ataishi kwa dhiki sana.
mwanamke akiwa mnyenyekevu na utii kwa mwanaume ambaye hajitambui inakuwa sawasawa na kichaa kupewa rungu vilevile mwanamke akiwa komandoo endapo atakuwa na mwanaume ambaye hajitambui ugomvi utaibuka kila siku kwa sababu mwanaamke attakuwa anataka kuwa kichwa cha familia
Mwanaume ambaye hajui wajibu wake kwenye familia huwa janga na chanzo cha mateso kwa mwanamke na watoto
Zingatia kwamba mwanaume ndiye anatafuta Mwanamke sio Mwanamke kutafuta mwanaume.
Mwanaume na Mwanamke sio sawa na hawawezi kuwa sawa hata siku moja.