BB_DANGOTE
Senior Member
- Sep 25, 2023
- 159
- 147
Habari za mda huu , JIna langu naitwa Geofrey ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya uhandisi .Pamoja na masomo yangu nimejitengenezea msingi imara wa uelewa wa biashara kwa kusoma vitabu tofauti vinavyoelezea mbinu bora za ujasiriamali, usimamizi wa biashara na mkakati wa soko.
kwa kipindi cha miezi minne iliyopita nimefanya utafiti wa kina (survey) katika eneo nililopo kwa sasa nikichambua mahitaji ya wateja, ushindani, na fursa zilizopo. matokeo ya utafiti wangu yamenipa uhakika kuwa hii ni fursa yenye nafasi kubwa ya mafanikio, lakini ilikuanza nahitaji mtaji wa kuanza.
UFAFANUZI JUU YA BIASHARA HIYO
Kulingana na tafiti yangu biashara inayoitajika sana katika eneo nililopo ni biashara ya SALOON YA KIUME .
kwann hii biashara?
katika eneo nililopo asilimia 99% ya wakazi ni wanachuo, ambao population yao kwa kukadilia ni watu ukijumuisha mwaka wa kwanza, mwaka wa pili,mwaka wa tatu, mwaka wa nne na wanafunzi wa diploma idadi yao inaweza fika zaidi ya watu 2500. Katika eneo hili kuna saloon za kiume mbili tu zinazo toa huduma ya kunyoa kwa Tsh2000. Katika eneo hili idadi kubwa ya wanachuo wanakawaida ya kupenda vitu vyenye dhamani ndogo kwa mfano vijana wengi wa kiume huenda umbali wa mita 100 kutoka chuo kilipo ili kupata chakula kingi kwa bei nafuu bila kujali mazingira na usalama wa chakula hicho.
hivyo basi kwa kuliona hilo nina dhamira ya kuanzisha biashara ya saloon mita 100 kutoka kwenye makazi ya wanachuo.
MAKADILIO YA FAIDA ENDAPO BIASHARA HII ITAANZA
Kulinga na na idadi ya watu kuwa wengi natarajia pia kuwa na wateja wengi, lakini nitafanya makidilio ya chini kabisa ya wateja kwa siku, idadi ya wateja 20 kwa siku wanao nyoa kawaida
watu 20 * Tsh 1000 = 20000/= kwa siku
siku 30 * Tsh20000 = 600000/= kwa mwezi
miezi 12 * Tsh600000 = 7,200000/= kwa mwaka
MCHANGANUO WA MAHITAJI
Gharama za vifaa mbalimbali vya kuanza
Viti vya kunyoa ( 2 * 80000) = 160000/=
benchi 1 =30000/=
mashine za kunyolea ( 2 * 80000) = 160000/=
kabati ya kuwekea vifaa 1 = 50000/=
vioo vikubwa ( 1 * 150000 ) = 150000/=
Sterilizer mashine ( 1 * 150000 ) = 150000/=
vitana na nyembe = 30000/=
Mataulo ya kufutia wateja = 30000/=
Gharama ya leseni na vibali = 100000/=
solar ya mkopo ( MobSol) = 223500/=
kibanda chakuanzia (square meter 25) = 500000/=
mapambo na matangazo = 100000/=
JUMLA ni TSH 1,683,500 ( shilingi millioni moja laki sita na elfu themanini na tatu mia tano )
Yes na huo ndio mchanganuo kwa ufupi wa biashara hiyo, na sasa nadhani ndio mda sahihi wakuanzisha biashara hii nimeweka juhudi mbalimbali katika kutafuta mtaji huu kama kwenda kwenye benk tofauti tofauti kama NMB kuomba mkopo (fanikiwa Loan) lakini sijafanikiwa.
kinacho niumiza ni kwamba sikufanikiwa kupata mkopo wa elimu ya juu licha ya kuwa na matokeo mazuri ya advance
lakini naamini mpo watu ambao Mwenyezi Mungu kawa uwezo na mnaweza nisaidia kwa chochote. pia nawa hakikishia nitapo fanikiwa kuanza nitatuma taarifa ya biashara kila wiki.
unaweza nisapoti kwa chochote kitu kupitia account namba zifuatazo na Mwenyezi Mungu atakuzidishia.
NMB 51010089745 jina GEOFREY PHILEMON BOYO
CRDB 0152912063900 Jina GEOFREY PHILEMON BOYO
AIRTEL MONEY 0686486140 Jina MARTHA MALAGO
pia kwa mawasiliano napatikana kwa 0686496140 na whatsap 0774496140
karibuni.