e2themiza
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 974
- 564
Habari zenu wakuu nikama muda sana ambapo watu kila siku wana uliza au bado hawafanikiwi kufaidika na kuweka line tofauti katia K3565-Z and
K3570-Z zte modems hizi zinazouzwa za vodacom ili kuweza kuweka line ya mtandao mwigine na kutumia vyema kabisa bila any problem...
wengine wanaweza shangaa kwanini nimefungua thread mpya kuzungumzia tena hili swala wakati limeshajadiliwa sana hapa na vile vile imetolewa
suluhu... na ikagundulika kuwa hizi modems haizija unlokiwa bali dashboard yake(vodafone mobile connect) imefungiwa isi kubal kusoma
line(mtandao) tofauti na VODACOM... vile vile watu waka post attach na vile vile kuweka links za dashboard ambazo ztaruhusu kusoma na
kuconnect line yoyote nyigine tofauti yenye mtandao wa GSM.. kwa mfano JOIN AIR 1.0... n.k mie nitaelezea kutoka mwanzo jinsi ya
jinsi ya kuweza kutumia kupitia JOIN AIR 1.0 dashboard kwa sababu pia watu mpaka leo bado wagumu kuelewa... BALI dhumuni ya hii THREAD
sana sana haija base sana jinsi ya kuweza kutumia JOIN AIR 1.0 bali ni kwamba kuta tatizo moja au USUMBUFU fulan unatokea na watu ambao
wanatumia DASHBOARD tofauti na vodafone mobile connect wata ungana na mimi... USUMBUFU unakuja pale ambapo UNALAZIMIKA
ukichomeka modem yako ya vodafone automatically ina run iyo vodafone mobile connect na vile vile inachukua muda kidogo kuload kwa
wale wenye pc zenye uwezo wa speed ndogo (RAM) vile vile ikishaload uiexit then sasa ufungue iyo dashboard nyigine ambayo itaruhusu
line zingine... sasa hi ni kero kidogo sana sana kwa Windows XP kwasababu ina automatically run bila kutoa prompts kama Windows 7..... sasa
nataka kueleza jinsi ya kudisable kautomatical autorun na kufunguka iyo dashboard ya vodafone mobile connect baada ya kujaribu njia nyinigi
kuizuia mpaka mwisho nimefanikiwa nitaelezea maelezo full kabisa kutumia JOIN AIR 1.0 apo chini maelezo yakifuatia na picha:
Mwanzo kabisa connect modem yako na automatically ita install vodafone mobile connect iache imalize kabisa na mpaka uone imefunguka
na umeweka line ya voda ni imeshika mtandao vyema kabia then exit vodafone mobile connect chomoa modem and chomoa line ya voda
na weka line tofauti ambazo unaweza kuweka line ya TIGO, AIRTEL na line ya ZANTEL ya GSM... then connect modem yako sasa iache ifunguke
automatically vodafone mobile connect kwa sasa mpaka italeta msg hii
Then sasa download JOIN AIR dashboard kupitia link hii apa ZTE Join Air-1.0.rar - 4shared.com - online file sharing and storage - download kisha install Then
ifungue apo chini ni picha ya dashboar ya JOIN AIR na nimeweka line ya ZANTEL ya GSM ambapo mwanzo kwenye vodafone mobile connect
sasa imefunguka na kusoma iyo line;
SASA TUNAKUJA PART MUHIMU PIA AU SULUHU YA KUPUNGUZA KERO YA KUSUBIRI KWANZA VODAFONE MOBILE CONNECT KUFUNGUKA
THEN KUICLOSE THEN KUFUNGUA JOIN AIR;
sasa cha kwanza ni kudownload hii software kupitia hii link right click na select open new tab na itaanza kudownload then isave kwenye
DESKTOP yako na WAHAKIKISHIA sio VIRUS coz PIA WENGINE HUOGOPA sana KUDOWNLOAD BINARY FILES zenye .exe.... link ya
kudownload hii apa http://the.earth.li/~sgtatham/putty/latest/x86/putty.exe
Then sasa apa pia muhimu sana pia kwanza kwa windows xp fungua CONTROL PANEL then select SYSTEM alafu hardware then select DEVICE
MANAGER... na kwa VISTA na SEVEN easily fungua STARTMENU then apo kwny search andika device manager na ifungue... then tafuta
ambapo imeandikwa MODEMS na fuatsha picha apo chini;
Sasa iyo picha chini ina THIBITISHA kama imekubali kuto ku autorun kwasababu ukianglaia kwneye My Computer iyo icon haipo kabisa lakin
Kwenye dashboard imesoma na kuconncet fresh kabisa
Then sasa fungua dashboard ya JOIN AIR
YAP MPAKA APO NIMEFIKIA MWISHO WA MAELEZO NA I HOPE KUWA MTAFANIKIWA NA KUONA HII
THREAD INA MSAADA KWAKO NI HAYO 2 HOPE MTAFANIKIWA ALL THE BEST NA NIGEPENDA KUONA
FEEDBACKS!

Apo itatokea iyo msg click close

Then utaona hivi ikikueambia kwamba haiwezi soma hyo line ok chakufanya ni kwenda chini kulia na kutafuta icon ya vodafone halafu
right click na chagua "Exit Vodafone Mobile Broadband"

Apo click Ok
Then sasa download JOIN AIR dashboard kupitia link hii apa ZTE Join Air-1.0.rar - 4shared.com - online file sharing and storage - download kisha install Then
ifungue apo chini ni picha ya dashboar ya JOIN AIR na nimeweka line ya ZANTEL ya GSM ambapo mwanzo kwenye vodafone mobile connect
sasa imefunguka na kusoma iyo line;

Then click settings

Then futisha na uclick sehemu kama kwenye picha kuanzia sehemu ya kwanza mpaka ya nne... kwenye sehemu ya PILI
unaweza weka jina lolote sehemu ya tatu andika kama ilivyo then click save

Kisha apply then click OK

Then Click Preferences.. sasa hapa ni muhimu sana kuwa makini nako utakuta iko selected Automatic lakini mie sikurecommend uchague Automatic kwann.. ni kwamba apa kuna selection ya 3G na GPRS/EDGE sasa ikiwa selcted automatic itachagua kuunga mtandoa ambao kwa eneo yako iko juu kati ya 3G na GPRS sasa kama 3G inashika mnara moja ni marakumi bora kuliko GPRS kujaa full so apo chagua iconnect manual na kuiforce ikamata 3G mpaka uone kabisa imegoma kata kata kuunga 3G ndo uselect GPRS/EDGE au pia kama kuna siku nyigine mtandao wa 3G haushiki so hii isikulazim usitumia net kabisa kwa siku iyo bali uchague GPRS/EDGE ili upate net vile vile sema speed kuwa ya kawaida na sio FAST kama 3G... then ksha click Apply and OK

Then kisha click System na unchek iyo option ya ku automatically kufungua JOIN AIR pale utakapo chomeka modem yako na hii tuna uncheck kwa sasa tutaiselect tena badaye then click Apply ok then close kwasabau mpaka apo tumemaliza kuconfigure

Kama unavyo ona apo juu imeconnect bila shida kabisa
SASA TUNAKUJA PART MUHIMU PIA AU SULUHU YA KUPUNGUZA KERO YA KUSUBIRI KWANZA VODAFONE MOBILE CONNECT KUFUNGUKA
THEN KUICLOSE THEN KUFUNGUA JOIN AIR;
sasa cha kwanza ni kudownload hii software kupitia hii link right click na select open new tab na itaanza kudownload then isave kwenye
DESKTOP yako na WAHAKIKISHIA sio VIRUS coz PIA WENGINE HUOGOPA sana KUDOWNLOAD BINARY FILES zenye .exe.... link ya
kudownload hii apa http://the.earth.li/~sgtatham/putty/latest/x86/putty.exe
Then sasa apa pia muhimu sana pia kwanza kwa windows xp fungua CONTROL PANEL then select SYSTEM alafu hardware then select DEVICE
MANAGER... na kwa VISTA na SEVEN easily fungua STARTMENU then apo kwny search andika device manager na ifungue... then tafuta
ambapo imeandikwa MODEMS na fuatsha picha apo chini;

apoi utaona ona iyo modem then double click it then chagua modem THEN sasa apo pamuhimu ni kukariri iyo PORT kama
kwangu ni COM10 sasa ikariri hio then close apo funga iyo device manager close control panel kisha fungua iyo software niliyo kupa link apo
uidownload PUTTY

Then iyo software itafunguka kwanza click session then click serial alafu apo kwenye serial line andika ile port uliokariri kutoka kule then click open

Apo sasa unaitaji uangalifu na umakini wa kutosha kwanza uki open itakuwa blank kabisa first type kwny keyboard yako.... ANGALIZO inawezekana ucikione unachokiandika lakini bali jua inajiandika so ucishtuke nakuandika ivyo ivyo ata kama hauoni unachokiandika ... ok first andika ATX then click enter ikileta jibu kama apo mwanzo OK basi umachagua au umeandika PORT yenyewe then andika ATI then hit enter apo italeta maelezo juu ya modem yako kama apo juu kwenye picha sasa ukiona ime leta results fresh ok... sasa apa inakuja the MOST IMPORTANT PART andika hii kitu AT+ZCDRUN=8 angalia usikosee kama UMEKOSEA ukisha click enter ita leta ERROR but kama umepatia ita leta Close autorun state result (0:FAIL 1:SUCCESS) :1... hii ina ashiria imekubal na umefanikiwa sasa BAADA ya hapa usiclose iyo window

Then right click iyo icon and select EJECT na itakuonyesha kuwa ur safe to remove iyo drive then CHOMOA modem yako

Then rudi katika ile software na utaona error iyo UCIJALI just click OK then close iyo SOFTWARE.... apo utakuwa UMEFANIKIWA kudhibiti autorun ya modem yako bila hofu yoyote.... sasa basi kwa mfano UNGEPENDA RUDISHA i autorun fuata njia za mwanzo vile sema kwenye kuweka code i disable andika hii AT+ZCDRUN=9 then click ENTER utaona ime andika Open autorun state result (0:FAIL 1:SUCCESS) :1 then EJECT alafu CHOMOA kama mwanzo then close iyo software na sasa ukichomeka tena utaona imerudi kama MWANZO na kufunguka AUTOMATICALLy
Sasa iyo picha chini ina THIBITISHA kama imekubali kuto ku autorun kwasababu ukianglaia kwneye My Computer iyo icon haipo kabisa lakin
Kwenye dashboard imesoma na kuconncet fresh kabisa

Then sasa fungua dashboard ya JOIN AIR

Sasa rudi tena kweney system na i check iyo option tulio uncheck mwanzo hii sio lazima lakini kwa wale wangeopenda ukichomeka modem tu ifunguke automatically JOIN AIR THEN select iyo OPTION apply then ok and now sasa utaweza kuconnect na line yoyote fast na bila usumbufu wowote