Fundi wa Canon printers

Mwamlima deon

Member
Jul 19, 2022
7
3
Habari zenu wakuu!
Vipi niaweza pata humu fundi w Printer, Printer yangu ni Canon Pixma G 3420 inaleta Error code 5400
 
Habari zenu wakuu!
Vipi niaweza pata humu fundi w Printer, Printer yangu ni Canon Pixma G 3420 inaleta Error code 5400
Nenda YouTube kaandonde errorcode na hiyo printer serioee yako, watakupa option yakuclear hiyo error,

Hutumii stabilizer mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom