Fundi wa GPS tracking kwenye pikipiki, bajaji na magari Mwanza na mikoani

Apr 29, 2016
11
6
TUNAFUNGA kifaa cha GPS TRACKING Kwny pikipiki,bajaji na magari.

Kifaa hiki husaidia pindi ukiibiwa uweze KUJUA kipo wapi pia uweze kukizima bila mwizi Kujua.

Pia husaidia kuona mizunguko ya chombo chako Kila sehemu kinapoenda lakini hata ukimpa bodaboda hawezi kudanganya Tena kua siku hiyo alikua mgonjwa na hajafanya kazi.

TUPIGIE GORDON TECHNOLOGY 0746373222.
Instagram; Gordon_Technology
Facebook;Gordon Technology
 

Attachments

  • Dark Blue and Yellow Modern Restaurant Business Card_20240704_094433_0000.png
    Dark Blue and Yellow Modern Restaurant Business Card_20240704_094433_0000.png
    318.4 KB · Views: 7
  • Dark Blue and Yellow Modern Restaurant Business Card_20240704_094434_0001.png
    Dark Blue and Yellow Modern Restaurant Business Card_20240704_094434_0001.png
    219.6 KB · Views: 6
Tunafunga FENSI ZA UMEME kwa ajili ya kuzuia wezi NYUMBANI KWAKO.
Pia TUNAFUNGA wayaring za UMEME ktk nyumba mpya au ya zamani.
Pia TUNAFUNGA kifaa cha Gps tracker KWENYE pikipiki,bajaji na magari kwa ajili kulinda chombo kisiibiwe na hata kikiibiwa utaona mahali kilipo kupitia SIMU YAKO ya mkononi.
Karibu GORDON TECHNOLOGY tukuhudumie.
Call/Whatsapp 0746373222
Instagram; Gordon_technology
Facebook; Gordon technology
 

Attachments

  • Kiboko ya wizi_20231103_213950_1.jpg
    Kiboko ya wizi_20231103_213950_1.jpg
    190.2 KB · Views: 5
Tunatengeneza na kurekebisha matatizo mbalimbali ya UMEME.

Pia tunasuka wayaring za UMEME,Cctv camera,gate motors,video door phone,Gps tracking,Access control nk...

Karibu GORDON TECHNOLOGY tukupe huduma Bora.
Call/Whatsapp;0746373222
Instagram; Gordon_Technology
Facebook; Gordon Technology
 

Attachments

  • 1_20231003_201702_0000.png
    1_20231003_201702_0000.png
    1.6 MB · Views: 6
Tunafunga FENSI ZA UMEME kwa ajili ya kuzuia wezi NYUMBANI KWAKO.
Pia TUNAFUNGA wayaring za UMEME ktk nyumba mpya au ya zamani.
Pia TUNAFUNGA kifaa cha Gps tracker KWENYE pikipiki,bajaji na magari kwa ajili kulinda chombo kisiibiwe na hata kikiibiwa utaona mahali kilipo kupitia SIMU YAKO ya mkononi.
Karibu GORDON TECHNOLOGY tukuhudumie.
Call/Whatsapp 0746373222
Instagram; Gordon_technology
Facebook; Gordon technology
Habari
Unapatukana wapi

Nyumba ya vyumba vitatu na seating room inahitaji vifaa vya wiring vya shilingi ngapi

Nahitaji mchanganuo wa kifaa na bei pia gharama za ufundi
 
Habari
Unapatukana wapi

Nyumba ya vyumba vitatu na seating room inahitaji vifaa vya wiring vya shilingi ngapi

Nahitaji mchanganuo wa kifaa na bei pia gharama za ufundi
Napatkn mwanza Mjini. Khs mchanganuo means nikuandalie cotation/proforma invoice! Nichek Whatsapp nikupatie pia usisahau Gharama za VIFAA hupishana kutegemea MKOA ULIPO au wilaya na brands za vifaa
 
Hapa mataa kwetu kuna wizi wa TV hizi flati Je? Naweza pata huduma ya kufunga GPS kwenye TV. Kama ni ndio naomba unipatie bei ya hiyo huduma niko hapa Buhongwa sokoni
 
Back
Top Bottom